Biden atumiwa ujumbe mzito na mama aliyepoteza mwanaye Afghanistan

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,892
22,649
Ujumbe mzito wa Twitter umetumwa kwa rais Biden na mama aliyepoteza mwanaye Afghanistan

USSR
Screenshot_20210901-174023.jpg
 
Huyo mama naye boya tu. Alipomruhusu mwanaye ajiunge na jeshi tena Marines alikuwa anafikiri anakwenda kucheza msondo? Ni mfuasi wa Trump aliyejaa chuki tu japo anastahili pole kwa kufiwa na mwanawe. Kwa upande mwingine aangalie na maelfu ya watoto wa wenzake waliouawa na mwanawe huyo na wenzake huko Afghanistan, Iraq na kwingineko. Taifa la kikatili daima liko vitani dunia nzima kuua na kunyonya wengine kisa tu kuiba raslimali zao. Pambafu!
 
Mkuu umejuaje kwamba ni marine soldier
 
Back
Top Bottom