Biden apewa ushauri hatari wa kupeleka mabomu ya atomiki Taiwan ili kukabiliana na China

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Biden apewa ushauri hatari wa kupeleka mabomu ya atomiki Taiwan ili kukabiliana na China

Oct 19, 2021 07:44 UTC

[https://media]

Taasisi moja ya wanafikra wenye misimamo ya kufurutu mpaka nchini Marekani imeeleza katika andiko lake moja la upembuzi kwamba, kuna ulazima kwa serikali ya Marekani kuweka mabomu ya atomiki katika kisiwa cha Taiwan ili kukisaidia kisiwa hicho dhidi ya China.

Taasisi ya Gatestone imeeleza katika uchambuzi wake huo kuwa, Rais Joe Biden wa Marekani anaweza kurejesha tena mkakati wa kuzuia hujuma za mashambulio kwa kupendekeza mkataba wa ulinzi baina ya Washington na Taiwan.

Sehemu nyingine ya uchambuzi huo wa Gatestone imeeleza kuwa, ikiwa yeye Biden hataki kufanya hivyo, itapasa aanzishe vituo maalumu vya silaha za atomiki ndani ya Taiwan au kuhamishia silaha hizo katika kisiwa hicho ili kiweze kujilinda.

Kwa mujibu wa taasisi hiyo yenye misimamo ya kufurutu ada, baada ya kutekwa mji mkuu wa Afghanistan Kabul, Taiwan sasa ni mtihani wa kuipima azma ya Marekani, kwa hivyo Washington inapasa ichukue hatua zisizo za kawaida kwa ajili ya kukilinda kisiwa hicho.

[https://media]

Hayo yanaripotiwa huku uchambuzi mwingine uliofanywa na chaneli ya habari ya Russia Today ukieleza kwamba, ikiwa China itaamua kuishambulia kijeshi Taiwan, lazima itakuwa imeshaufanyia tathmini pana na ya kina ya kiintelijensia uwezekano wa kufanikiwa na kutoka na ushindi katika shambulio hilo.

Duru za habari ziliripoti siku ya Jumamosi kuwa,Taiwan inafuatilia uwezekano wa kupokea kabla ya muda ulioafikiwa ndege 66 za kivita aina ya F-16 na zaidi ya makombora 100 ya masafa ya mbali aina ya AGM-158 kutoka Marekani yenye uwezo wa kushambulia ardhi ya China.../
 
Biden hawezi kufanya ujinga huo, anaelewa vizuri uwezo wa Kijeshi wa Taifa la Uchini hivi sasa, hasa kuhusu thermonuclear delivery systems ambazo uchina inamiliki, mfano: juzi hapa China ilifanya majaribio ya makombora type ya "glide vehicle" ambayo imeifanya Merikani ikabaki midomo wazi baada ya kupata ushahidi kuhusu majaribio ya Uchina ya kombora hilo hatari shi ambalo hata Wamerikani wenyewe wanakili kwamba hawana kinga dhidi ya makombora hayo.

Si hilo tu Wachina vile wana miliki submarine drones zilizo sheheni 200MT thermonuclear payloads zenye uwezo wa kushambulia East na West Coast/pwani za USA zikasababisha mawimbi makubwa ya Tsunami yenye nguvu kubwa ya kuharibu miundo mbinu,majengo na viwanda vya miji mikubwa unayo kaliwa na watu wengi katika pwani za magharibi na mashariki ya USA na RAIA wengi kuzama, si hilo tu, vile vile beaches hazitakalika kwa miaka elfu kutokana na maji kuchafuliwa na mionzi (radio active) ambazo zitatokana na mlipuko wa thermonuclear bom.

Ni wazi Amerika haiwezi kutishia China kwa mabom ya nuclear huku wakijuwa wazi kwamba Wachina wana uwezo mkubwa wa kujibu mapigo na kuigeuza landmass ya USA into thermonuclear waste land - msilisahua hilo,ukweli wa mambo ni kwamba Uchina ya leo sio ya mwaka 1947.
 
Biden hawezi kufanya ujinga huo, anaelewa vizuri uwezo wa Kijeshi wa Taifa la Uchini hivi sasa, hasa kuhusu thermonuclear delivery systems ambazo uchina inamiliki juzi hapa amefanya majaribio ya glide vehicle ambayo imeifanya Merikani ibaki midomo wazi baada ya kupata ushahidi kuhusu majaribio ya Uchina ya kombora hilo hatari ambalo Wamerikani hawana kinga dhidi yake.

Si hilotu wachina vile wana miliki submarine drones zilizo sheheni 200MT thermonuclear payloads zenye uwezo wa kushambulia East na West Coast/pwani za USA zikasababisha mawimbi makubwa ya Tsunami yakahatibu mihundo mbinu na majengo ya miji mikubwa unayo kaliwa na watu wengi katika pwani za magharibi na mashariki na RAIA wengi kuzama, so hilo tu vile beaches hazitakalika kwa miaka elfu kutokana na maji kuchafuliwa na mionzi (radio active) ambazo zitatokana na mlipuko wa thermonuclear bom.

Amerika haiwezi kutishia China kwa mabom ya nuclear huku wakijuwa kwamba Wachina wana uwezo mkubwa wa kujibu mapigo na kuigeuza landmass ya USA into thermonuclear waste land - msilisahua hill China ya leo sio ya mwaka 1947.

Mchina kila silaha zana mpaka nguo lazima acopy kutoka USA au EU nitajie kimoja tu alichokibuni bila ya kukopi?

Lunatic
 
Wewe vipi,unalewa vizuri masuala ya kisayansi au unajesemea tu - huna hata habari kwamba wachina ndio wali invent gunpowder, roketi,wino, karatasi, compass,machine za kutengeza nguo including silk,porcelain, karamu,maths calculator (abacus), manual print duplicating machines,acupuncture,madawa nk - kwa kifupi wachina walikuwa mbali sana katika fani ya sayansi, walikuja kuvurugwa na kurudishwa nyuma kimaendeleo kutokana na uvamizi wa wazungu.

Mnacho sahau ni kwamba wanasayansi wengi wenye asili ya Uchina waliokuwa wanaishi huko Merikani wamechangia sana katika kuliendeleza Taifa hilo kwenye masuala ya sayansi na teknolojia, kuanzia masuala ya nuclear, outer space exploration,Artificial Intelligence,Quantum Computers, utafiti wa stem cells nk.

Nataka nikumbumbushe kitu ambacho labda hukijui, ni hivi: binadamu ambao wana akili nyingi Duniani ni watu wenye asili ya Kichina yaani Orientals( Wachina,Wakorea na Wajapan) ndio wanaongoza Duniani kuwa na IQ kubwa ukweli huo imethibitishwa kisayansi sio mambo ya blah blah.

Nimalizie kwa kusema kwamba almost all ground breaking inventions (uvumbuzi wa teknolijia ya hali ya juu) huko Merikani takwimu zinaonyesha kwamba asilimia kubwa za wavumbuzi hao ni Orientals (Wachina,Wakorea) walio jiunga na vyuo vikuu vya huko Merikani on Student VIZA na sio wanafunzi wa kizungu, kisheria ukivumbua kitu wakati unasoma chuo kikuu uvumbuzi wako unabaki ni mali ya Chuo kikuu sio wewe - wao ndio uwauzia uvumbuzi wako kampuni binafsi au jeshi - wala haidhsngazi kwa nini China inakuja juu sana Duniani katika masuala ya sayansi na teknolojia - wana akili sana sana - hizi propaganda za kusema eti wachina ni mahili katika masuala ya wizi wa intellectual properties hivyo ni visingizio tu kama ibgekuwa kirahisi hivyo mbona mataifa mengi Duniani yanashindwa kuiga kasi ya maendeleo ya kisayansi na teknolojia kama Wachina ambao wamefanikiwa kupeleka vyombo in outer space, kujenga space station, kupeleka vyombo vya utafiti wa kisayansi mwezini na kwenye sayari ya MARS, kuunda ndege za kisasa za kusafirisha abiria, ndege za vita,submarines,hypersonic missiles and glide vehicles, Quantum computers and radars, bullet trains, bwawa kubwa sana Duniani LA kuzalisha umeme nk, ukicheck kwa umakini utakututa watalaam wengi wa kichina wanao fanya maajabu hayo nniakina bwana mdogo tu miaka 25 mpaka 35!! Halafu wazungu wanakuja na ngojera zao eti Wachina wezi, wachina wezi, Wachina eti wanakihuka haki za binadamu - wanawazulia tuhuma chugu nzima baada ya wazungu kushindwa kushindana na Wachina kiuchumi na kiteknolojia bahati mbaya baadhi ya waswahili wanajiunga na crusade ya kuwasema vibaya Wachina.
 
Nakubaliana na wewe kwenye uvumbuzi wa gun powder kweli wachina ndio walio vumbua lakini unajua kwamba walivumbua kwa miaka 100 ndio wazungu wakaiboresha zaidi. Kwenye calculator chuo cha Kent university kipo kent,Ohio ndicho kilichovumbua calculator sio wachina. Na hesabu ni Egypt ndipo kulipo vumbuliwa. Kuhusu wanafunzi wengi wanaosoma/ ongoza kwenye technology USA ni wahindi sio wachina nikija kwenye watu walio mbali kwa uvumbuzi ni wajapan sio wachina yaani wapo 3 years ahead ya USA na Europe. Nishasoma China na nishasoma USA kwahio huwezi kunidanganya kwa hilo.

Uko Sahihi, IQ distribution ya watu duniani inaonyesha kuwa Watu wenye asili ya Uchina (China, Korea, Japan, Singapore) ndiyo wanaoongoza kwa IQ kubwa duniani.
Hata maendeleo ya haraka ya hizo nchi ni ushahidi wa wazi wa akili za watu hao!
 
Nakubaliana na wewe kwenye uvumbuzi wa gun powder kweli wachina ndio walio vumbua lakini unajua kwamba walivumbua kwa miaka 100 ndio wazungu wakaiboresha zaidi. Kwenye calculator chuo cha Kent university kipo kent,Ohio ndicho kilichovumbua calculator sio wachina. Na hesabu ni Egypt ndipo kulipo vumbuliwa. Kuhusu wanafunzi wengi wanaosoma/ ongoza kwenye technology USA ni wahindi sio wachina nikija kwenye watu walio mbali kwa uvumbuzi ni wajapan sio wachina yaani wapo 3 years ahead ya USA na Europe. Nishasoma China na nishasoma USA kwahio huwezi kunidanganya kwa hilo.

Lunatic
The most intelligent people on earth ni Mongol race ambayo DNA yake imesambaa kwa wachina wajapan, korea hata wahindi warusi nk. Hivyo Japan na china wana share DNA hivyo ni ndugu na ndio maana wanafanana kwa namna fulani.
Wazungu hawana IQ kubwa kwa jumla ila wanamatumizi mazuri sana ya watu wenye IQ kubwa. Wazungu wakigundua mtu ana IQ kubwa hawafanyi mchezo, wanamkuza.
Wazungu vulevile hawana ground ya maarifa bali wamejifunza kutoka kona zote za dunia na kuboresha maarifa hayo mpaka sasa.
Inasemekana wazungu waliendelea sana baadavta kugundua njua za kufanya utafit na kuruhusu demokrasia ifanye kazi.
Mwisho wazungu wapo makini na kutumua watu wenye akili boka kujali anatoka wapi au mswahili,mchina,mzungu, muhindi nk,
Vile vile wazungu wameoana na mataifa yote ya dunia kutokana na ukoloni kuna kila DNA kwenye mataifa yao wakati sisi waafrika tunapambana sisi kama sisi na wala hatuna muda na matumizi ya akili za watu/race wengine hata kama ni waziliwa wa barni Africa.
 
Biden hawezi kufanya ujinga huo, anaelewa vizuri uwezo wa Kijeshi wa Taifa la Uchini hivi sasa, hasa kuhusu thermonuclear delivery systems ambazo uchina inamiliki, mfano: juzi hapa China ilifanya majaribio ya makombora type ya "glide vehicle" ambayo imeifanya Merikani ikabaki midomo wazi baada ya kupata ushahidi kuhusu majaribio ya Uchina ya kombora hilo hatari shi ambalo hata Wamerikani wenyewe wanakili kwamba hawana kinga dhidi ya makombora hayo.

Si hilo tu Wachina vile wana miliki submarine drones zilizo sheheni 200MT thermonuclear payloads zenye uwezo wa kushambulia East na West Coast/pwani za USA zikasababisha mawimbi makubwa ya Tsunami yenye nguvu kubwa ya kuharibu miundo mbinu,majengo na viwanda vya miji mikubwa unayo kaliwa na watu wengi katika pwani za magharibi na mashariki ya USA na RAIA wengi kuzama, si hilo tu, vile vile beaches hazitakalika kwa miaka elfu kutokana na maji kuchafuliwa na mionzi (radio active) ambazo zitatokana na mlipuko wa thermonuclear bom.

Ni wazi Amerika haiwezi kutishia China kwa mabom ya nuclear huku wakijuwa wazi kwamba Wachina wana uwezo mkubwa wa kujibu mapigo na kuigeuza landmass ya USA into thermonuclear waste land - msilisahua hilo,ukweli wa mambo ni kwamba Uchina ya leo sio ya mwaka 1947.
Msemaji wa PLA tunaomba ukae,

Karibu msemaji wa US Army.
 
Mmarekani alichemsha kwa korea kaskazini kwa mchina ataweza sasa?

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
China is a third world country, just like us. The people of China are fleeing their country in search of the greener pastures abroad just the way we do in Africa 🌍 So not a lot that can be said about the Chinese.
 
Back
Top Bottom