Biden amtangaza Putin kama " Mhalifu wa Kivita". Warusi wachachamaa wasema kauli ya Biden haijadiliki na Haisameheki!

Hii vita ishachukua mwezi?

Si nilisikia majeshi ya urusi yameizunguka Kyiv na wapo 13KM kulifikia hili jiji? Na kwamba siku tatu tu zinatosha kuituliza Ukraine?

NA huyu Biden anapomlabel Putin kama war criminal si ni mbinu ya kumpa mbwa jina baya kabla ya kulobby nchi zingine ziingie kupambana kupitia UN kama peace keepers?

Hapa si ndiyo mwanajeshi akienda Ukraine akikaa wiki 6 anarudi na 8M na marupu rupu mengine unadhani wangapi watagoma?
 
Wanaweza kurudi na hizo 8M au pamba za pua na masikio.
 
UKWELI WA MAMBO KUHUSU JOE BIDEN

Chechnya’s Kadyrov Reacts to Biden Calling Putin ‘War Criminal’

The Chechen leader Kadyrov has called the US president Joe Biden
a “maniac who has Finally Lost His mind in his old age", pacting as a world policeman.

He continues that Biden does not have the credibility to assess Vladimir Putin.

“Biden publicly, unabashedly, proudly provides evidence on himself... with his personal initiative, Belgrade was bombed and the Serbian quarters destroyed. It was he who ordered the Air Force to bomb Syria.”

“There is no more notorious military and economic criminal today, among the current leaders, than Joe Biden,”..
 
20220319_181119.jpg
 
Hawa marekani na russian wamehasimiana kwa muda mrefu,niwakati wa kaliza huu uhasama,wachapane ndo soln ya mwaisho.USA NI muoga aingie ulingoni sio kuomba attention kwa dunia.putin kidume aise mwanzo nilikuwa namchukulia poa lkn Kama marekani analialia halafu kaufyata mkia ,sio mchezo.putin kidume aise
Biden na Blinken wamegeuka mbayuwayu kila uchao wapo kwenye safari za kutafuta marafiki wa kulazimisha wapate kuungwa mkono dhidi ya urusi hakika Urusi baba lao kama huyu Biden ulaya yoote kazurula akitafuta wajumbe lakini inaonekana wajumbe wanaujua ukweli uliopo moyoni mwao
 
Marekani na urusi ki intelejensia ni maswahiba wakipigana namlipa buku kila anae nibishia, uhasama wao ni kwaajili ya biashara ya silaha
 
Hawa marekani na russian wamehasimiana kwa muda mrefu,niwakati wa kaliza huu uhasama,wachapane ndo soln ya mwaisho.USA NI muoga aingie ulingoni sio kuomba attention kwa dunia.putin kidume aise mwanzo nilikuwa namchukulia poa lkn Kama marekani analialia halafu kaufyata mkia ,sio mchezo.putin kidume aise
Marekan sio kwamba vita haiwez ila anaogopa kupoteza uchumi wake ambao ameujenga kwamiaka kibao, hiz nchi kama urusi, korea kwakiduku, iran huo hazina chakupoteza yan wao hata nchi ibaki magofu hawajali hata mchina saiv ishu yavita hatak mana anajua atapoteza
 
Back
Top Bottom