ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 8,571
- 7,218
Nimekwambia utabiri wa Yesu haukutimia mpaka Yesu Kuzaliwa ndio akasulubiwa, hakuna mahali kasulubiwa Mara 2, lakini hizo dalili zako za mwisho wa dunia tayari zilishafanyika nyingi huko nyuma kabla ya hao wakina Mathayo, sasa iweje kitu kilichofanyika nyuma huko eti kikijirudia mbeleni huko wakina Mathayo wadai ni dalili za mwisho wa dunia? huko ni kupoteza kumbukumbu kwa biblia na umri mdogo wa wakina MathayoHoja gani nimekimbia?
Pia kwanini usemee vitu kabla ya kuchunguza..! unajua utabiri wa yesu ulitokea kipindi gani..?
unaweza kusema chakula kina ladha mbaya bila ya kuonja?
Usipende kukosoa kitu kabla ya kuchunguza utaonekana mjinga..!