Bible

Richardbr

Senior Member
May 29, 2011
110
25
Jamani form four wamefanya karibu asilimia 80 ya mitihani yao sasa naomba mnisaidie anayefahamu maswali ya Bible knoweldge anifahamishe coz kuna mdogo wangu anafanya tarehe 17 october sasa anataka kufanyia mazoezi.

Kama nitapata past paper basi itakuwa nzuri sana.

Mbarikiwe
 
Asome Bible yote the same way kama alivyozisoma Nelkon na Lambert zote!
 
Kimahesabu ili uweze kumaliza bible yote hapa namanisha kusoma tu ni mwaka mzima wakati minahitaji hints za mtihani wenyewe nafikiri nimeeleweka
 
Huyo mdogo wako nae kilaza,yan mpaka dakika hi alikua hana hata mapast paper?
 
Back
Top Bottom