Mkwaruzo
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 563
- 98
Bibi wa kipemba alitoa ushahuda kwa muandishi wa habari juu ya ajali ya gari iliyokuwa iktoka Dar kwenda Moro.
Akaulizwa anakumbuka ilikuwaje?
Akasema: "ama bwan muandishi mie nikumbukalo ni kuwa twengia garini njini ikaanza kwenda dereva akawa awana na pigi kulilegalega ela helin'goa,
(anamaanisha giya) hata tulipofika Chalinze hatizama nje haona miti ya Daresalamb yenda Mrogoro na ya Mrogoro yenda Daresalama.
Ama hapo sejua kama ni nti wetoka ukaipiga gari au n gari iliyopiga nti mie neshtukia ni spitali tu".
Nusra mwandishi acheke ila aliweza kujizuia.