mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,432
Msikize bibi huyu na vitendawili vyake duh.
Ama kweli utu uzima dawa
Waswahili wapi nduguWaswahili hawa
Utakuwa umeelewa mkuuWaswahili wapi ndugu
Unataka kusema ni ndugu na Kubenea!!!?Waswahili hawa
Dingi umekuwa Mwakyembe?Unataka kusema ni ndugu na Kubenea!!!?
Mkwere alishasema, waswahili wanazoza sana!Waswahili hawa
YpMkwere alishasema, waswahili wanazoza sana!
Hahaha kwa nini wasema ivo.Atakuwa mzaramo huyo ndo zao
Msikize bibi huyu na vitendawili vyake duh.
Ama kweli utu uzima dawa
Mbona waguna mkuu?Aisee.
Embu mutaje muhusika.Huyu bibi atakuwa ni mama mkwe wake mtu hum JF