Biashara za mitaji ya EPA!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara za mitaji ya EPA!!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Watu, Nov 20, 2008.

 1. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2008
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 2,996
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  kuna tetesi kuwa badhi ya biashara zilizokuwa zinaendeshwa kwa mitaji ya EPA zimeanza kufunguwa

  Hebu tuziangalie biashara za EPA ni zipi na je zitaendelea kuwepo?

  Kituo cha BP Jamhuri Street kimetiwa kamba na kuna tetesi Morogoro stores nayo imetiwa kamba kuna ukweli wowote? wamiliki wa biashara zote hizi mbili wako mahakamani kwa EPA.
   
 2. M

  Mama JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  hao wamiliki ni kina nani kati ya ishirini waliofikishwa kizimbani?
   
 3. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  yule aliyekuwa anaendesha tenda ya kupaki gari airport nae yuko kitimoto anatembea na daladala siku hizi
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Dogo umeanza tena eeehhhhh!!! $yxs$?>
   
 5. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  umeweka mirror nini au permanent link kila ninachopost unafuatia
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Coincidence dogo.....teh teh teh
   
Loading...