Biashara za kufanya kwa mtaji mdogo wa elfu 10 mpaka 50

Hizi biashara kama hizi kwanini hutajwa dar tu? Mara utasikia nenda pale ilala, soko la mlandizi ..zinalipa ukiwa dar tafauti na maeneo mengine? Kama vip tuje uko kufanya..
 
Nilipokuwa home nasoma nilikuwa nahela mpaka Uncle wangu aliekuwa anafanya kazi serikalini anakuja kuniomba nauli ya kuendea kazini asubuhi. Maana muda wote nilikuwa nalala na masile au masarafu kibao.

Maana way back tuliishi Jirani na ukumbi wa video pamoja na uwanja wa mpira wa miguu..so nikajiongeza kwa friji ya maskani nikaanza kufunga barafu(ice cream) za ubuyu nazipiga na ladha ya vanilla ndani yake mixer na unga wa ngano ili kuzipa uzito na ulaini wa kung'ata kwa mtaji kama wa elfu tano tu ndani ya miezi miwili nilikuwa nalala mpaka na elfu 50 za chenchi chenchi kama faida yangu. Zingine nimeibiwa kibao na wadogo zangu maana kila MTU alikuwa anauza kwa wakati wake coz mostly Wateja walikuwa wanakuja kugonga mlango home wanataka mambo kabla hata hatujapeleka sokoni uwanjani kwenye kabumbu. Watu wazima kabisa walikuwa wanakula kwa kificho afu walikuwa wanaziita soda kasoro gesi....aaaaaah!!

Hatimaye mradi ukakua maradufu mpaka mama ndio akaudhibiti akanunua mafreezer na kuleta watu tukawaajiri na wakawa wanapeleka na mashuleni na madiaba makubwa. Business ikaanza kuendesha familia.

But home huwa wanakaa wananiuliza ulifikiria nini mpaka ukaanza kufunga barafu na ulijifunziaga wapi huu ujuzi? Nabaki natabasamu tu.

Ndo maana huwa naamini "biashara ndogo ndogo ndio zinaendesha maisha ya familia nyingi hapa mjini."

Heko barafu a.k.a ice cream
ww ni mm mkuu nafanya hivyo now
 
Nashukuru sana mkuu maan nimepata wazo la kuanzisha biashara kupitia mtaji mdogo ,mungu akubarik kaka kw mawazo yako mazur
 
Chuo nliwekaga usistaduu pembeni..mimi na rafiki yangu tulikua tunauza kachori..tunatengeneza na pilipili tam hatari..tunatembezea majirani na hostel tulipiga sana pesa..biashara ndondogo mwanzo wa mafanikio
Aisee.....nmeipenda hii
 
Nilipokuwa home nasoma nilikuwa nahela mpaka Uncle wangu aliekuwa anafanya kazi serikalini anakuja kuniomba nauli ya kuendea kazini asubuhi. Maana muda wote nilikuwa nalala na masile au masarafu kibao.

Maana way back tuliishi Jirani na ukumbi wa video pamoja na uwanja wa mpira wa miguu..so nikajiongeza kwa friji ya maskani nikaanza kufunga barafu(ice cream) za ubuyu nazipiga na ladha ya vanilla ndani yake mixer na unga wa ngano ili kuzipa uzito na ulaini wa kung'ata kwa mtaji kama wa elfu tano tu ndani ya miezi miwili nilikuwa nalala mpaka na elfu 50 za chenchi chenchi kama faida yangu. Zingine nimeibiwa kibao na wadogo zangu maana kila MTU alikuwa anauza kwa wakati wake coz mostly Wateja walikuwa wanakuja kugonga mlango home wanataka mambo kabla hata hatujapeleka sokoni uwanjani kwenye kabumbu. Watu wazima kabisa walikuwa wanakula kwa kificho afu walikuwa wanaziita soda kasoro gesi....aaaaaah!!

Hatimaye mradi ukakua maradufu mpaka mama ndio akaudhibiti akanunua mafreezer na kuleta watu tukawaajiri na wakawa wanapeleka na mashuleni na madiaba makubwa. Business ikaanza kuendesha familia.

But home huwa wanakaa wananiuliza ulifikiria nini mpaka ukaanza kufunga barafu na ulijifunziaga wapi huu ujuzi? Nabaki natabasamu tu.

Ndo maana huwa naamini "biashara ndogo ndogo ndio zinaendesha maisha ya familia nyingi hapa mjini."

Heko barafu a.k.a ice cream
Naomba unifundishe hii kitu nipo interest nayo
 
Back
Top Bottom