Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,449
Jamani kuna mtandao unaitwa badoo, yani huko kuna malaya wa kutupwa, siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu, wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile. Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana, nitakurudishia ndani ya wiki moja".

Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana, yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.
 
Sijakupata fresh!
Kwa hiyo ni utapeli au wanauza nyapu kweli kweli?
Ukimtia huo mkwanja inakuaje? Huu mtandao haujawahi nivutia, nitawndelea tu kusikia visa vyake kupitia wadau kama mleta uzi.
Wanauza nyapu mkuu, yani huko mnaelewana kabla, na mi nishawaona wadada na washkaji wengi nnaowajua hadi sikuamini, full ufska huko
 
Jamani kuna mtandao unaitwa badoo,yani huko kuna malaya wa kutupwa,siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu,wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile.

Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana,nitakurudishia ndani ya wiki moja".

Sasa mtu unajiuliza" namkopeshaje fedha mtu ambae sijawahi hata kumuona? Haaahaaa hiyo ndio hatari ya badoo bwana,yani ukikataliwa badoo basi wewe jichunguze una matatizo gani.
Bora sijajiungaa maana nami napenda helaa ningeomba mseme najiseel
 
Back
Top Bottom