Chriss_ Chriss
Member
- Jun 23, 2021
- 8
- 7
1. I have a business idea ambayo nimeifanyia kazi na tafiti za kutosha kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu, morogoro kisaki wanalima sana mpunga,kipindi cha mavuno gunia la mpunga wanauza 35,000/= mpaka 45,000/= gunia la debe sita shambani, gharama za kusafirisha gunia moja mpaka godown gunia inacost 10,000/= maximum, inatokana na umbali wa shamba lakini, gunia kukaa godown mpaka utakapo enda lichukua gunia lako ni sh 2000/= jumla gunia linakua limecost 57000/= . Faida Gunia moja baada ya miezi mitatu mpaka minne gunia la mpunga linauzwa 90000/= mpaka hata 100,000/= kwa kila gunia mtu una faida ya wastani wa 33000/= kwa kila gunia. Kama mtu ulinunua magunia 300 kwa kila gunia garama yote mpaka siku ya kuliuza sh 57000/= Wastani wa faida kwa kila gunia ni 33000/= mara 300 ni sawa na 9,900,000/= .
2. Mchele kilo moja shinyanga inacost 800/= mpaka 1100/= Grade nzuri safi, usafiri wake mpaka Arusha kilo moja ni sh 300/=
Gharama za kilo mpaka inafika arusha 1400/= Mauzo kilo moja ni 1600/= mpaka 2000/= Wastani wa faida kwa kila kilo ni 300/= Minimum. Mtu ukinunua kilo 1000/= ambayo ni sawa sawa na 1 Tone ghara yake mpaka arusha itakua ni sawa sawa na 1,400,000/= Faida yake itakua minimum 300,000/= Mauzo Kwa mwezi mmoja ninauwezo wa kuuza Tone 4 mpaka 6. Uhifadhi wake store chumba kibwa pembezo kidogo mwa jiji ni 50000/= mpaka 100,000/= Mwezi, usafirishaji kutoka store mpaka masoko mbali mbali gharama za trip 10000/= guta jumla y usafiri kwa mwezi 210,O00/= Faida ya Tone 6 ni 1,800,000/= .
3. Nahitaji serious investors wasiozidi wawili tu tufanye kazi kwa ushindi zaidi.
4. Kigezo awe na uwezo wa kuinvest minimum 5M.
5. Unakaribishwa kuuliza swali lolote kuhusiana na hii biashara
6. Investors mnakaribishwa PM kwa maelezo zaidi
NB: Nimetumia zaidi ya mwaka kufanya tafiti kwa undani sanaa sijaweza kuandika kila kitu, sasa wewe usije kuinvest nenda kafanyie kazi kichwa kichwa.