Biashara ya Waxing iko hatarini

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Matango ya Monsanto, yanasabisha upungufu wa *****. Yaani huko sehemu nyeti panakuwa kipara. Athari zimejitokeza teyari nchi za America na Ulaya Acheni kula pickles pia maana zinatengenezwa na hayo matango! Wanatumia dawa gani katika ulimaji? Wasije wakafanya Africa iwe dumping ground ya hiyo dawa! Lakini huenda ni habari njema kwa wanaopenda kuwa vipara huko mahala! Ila biashara ya 'waxing' inaweza kufa kabisa
Source: Monsanto Cucumbers Cause Genital Baldness -- Immediately Banned in Nova Scotia | The Lapine

image.jpg
 
Hiyo picha hapo ni waxing ama skinning?

Pickle tunakula za local made na ujue waxing ni ghali. Kama ni cancer miaka hii michache tumebakiza ya kuishi haitotubamba.
 
Haya Halima Mdee aliyasemea sana Bungeni...lakn wauzaji wa nchi hii wameng'ang'ania mbegu za Mansota(?) sababu tu ya 10%
 
Boflo, bora yangu mie niliyemua kuwa rasta huko down stairs
Matango ya Monsanto, yanasabisha upungufu wa mavuzi. Yaani huko sehemu nyeti panakuwa kipara. Athari zimejitokeza teyari nchi za America na Ulaya Acheni kula pickles pia maana zinatengenezwa na hayo matango! Wanatumia dawa gani katika ulimaji? Wasije wakafanya Africa iwe dumping ground ya hiyo dawa! Lakini huenda ni habari njema kwa wanaopenda kuwa vipara huko mahala! Ila biashara ya 'waxing' inaweza kufa kabisa
Source: Monsanto Cucumbers Cause Genital Baldness -- Immediately Banned in Nova Scotia | The Lapine

View attachment 96187
 
Last edited by a moderator:
By deafault ukifanya waxing unaondoa vinyweleo vyote kuanzia kwenye mzizi...sasa najiuliza kwa nini tena tushangae kuwa waxing inasababisha kipara wakati ndio ilikuwa lengo lake..

Mkuu hata mimi alinichanganya ila nadhani anamaanisha watu wakila hayo madude yao (picles), yataondoa hizo nywele kwenye hayo maeneo na hawatahitaji waxing.

Ubarikiwe mkuu
 
Dah siye wa maneromango tumesalimika hakuna wax wala waxing huku ni full topaz
 
By deafault ukifanya waxing unaondoa vinyweleo vyote kuanzia kwenye mzizi...sasa najiuliza kwa nini tena tushangae kuwa waxing inasababisha kipara wakati ndio ilikuwa lengo lake..

lengo ni kwamba.....pia kuwaxiwa ni burudani.....we si unaona picha hapo.....japo inauma....lakini ni maumivu ya raha......
waxing hoyeeeeeeee..........
 
lengo ni kwamba.....pia kuwaxiwa ni burudani.....we si unaona picha hapo.....japo inauma....lakini ni maumivu ya raha......
waxing hoyeeeeeeee..........
mmmh. mm nataka kukuwax free of charge
 
Matango ya Monsanto, yanasabisha upungufu wa mavuzi. Yaani huko sehemu nyeti panakuwa kipara. Athari zimejitokeza teyari nchi za America na Ulaya Acheni kula pickles pia maana zinatengenezwa na hayo matango! Wanatumia dawa gani katika ulimaji? Wasije wakafanya Africa iwe dumping ground ya hiyo dawa! Lakini huenda ni habari njema kwa wanaopenda kuwa vipara huko mahala! Ila biashara ya 'waxing' inaweza kufa kabisa
Source: Monsanto Cucumbers Cause Genital Baldness -- Immediately Banned in Nova Scotia | The Lapine

View attachment 96187

Hahahahahahaaa:heh:BOFLOOOO!!!! Nashukuru sana for making my Monday morning joyous!!!Sasa mimi nataka kukata gharama ya unyoaji ndevu maana bei ya Topaz imekaa vibaya! Haya matango hayawezi kusaidia kwenye hili???
 
Na wewe unafanya waxing ya mwili mzima?

Hiyo picha hapo ni waxing ama skinning?

Pickle tunakula za local made na ujue waxing ni ghali. Kama ni cancer miaka hii michache tumebakiza ya kuishi haitotubamba.
 
Back
Top Bottom