Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,384
- 4,409
Matango ya Monsanto, yanasabisha upungufu wa *****. Yaani huko sehemu nyeti panakuwa kipara. Athari zimejitokeza teyari nchi za America na Ulaya Acheni kula pickles pia maana zinatengenezwa na hayo matango! Wanatumia dawa gani katika ulimaji? Wasije wakafanya Africa iwe dumping ground ya hiyo dawa! Lakini huenda ni habari njema kwa wanaopenda kuwa vipara huko mahala! Ila biashara ya 'waxing' inaweza kufa kabisa
Source: Monsanto Cucumbers Cause Genital Baldness -- Immediately Banned in Nova Scotia | The Lapine
Source: Monsanto Cucumbers Cause Genital Baldness -- Immediately Banned in Nova Scotia | The Lapine