Biashara ya wanawake na watoto wa kike nje ya nchi yashamiri DSM

Aug 17, 2009
60
4
BBC imegundua kuna biashara ya wanawake na watoto wa kike nje ya nchi,biashara hiyo imeshamiri sana jijini Dar,wanawauza kwa bei ya juu kwa nchi kama,China,Korea.Saud Arabia etc,na huko wanaenda kuuza miili yao.Hebu fikiria ndo ndugu yako anafanyiwa hivyo
 
Hata kama sio ndugu, watanzania wote ni ndugu. Ni masikitiko makubwa hasa kwa watoto wadogo wanaopelekwa bila kujua kinachoendelea
 
Hao watu wanaojihusisha na hiyo biashara wakamatwe na kufunguliwa mashitaka ya uzalilishaji.
 
Kiukweli inasikitisha,wanawachukua wale ambao wanatafta kazi,zaid ni wale wenye elim ya chin na walioko kwenye maisha magumu wanawaambia wanawapeleka ulaya watapata maisha mazuri na watafanya kazi za ndani,kumbe wanapelekwa kufanya ukahaba,
 
Weeeeeee! Sio wanawake tu... Mpaka ngoziiiii za waafrika! Upumbavu mtupu. Hivi serikali ipo wapi? Tuliyemchagua aongoze hii nchi anafanya nini? Jana wamekamata pembe za ndovu zaidi ya elfu moja kutoka tanzania kwenda china. Yaani hii nchi magendo na ulanguzi vinatawala.
 
BBC imegundua kuna biashara ya wanawake na watoto wa kike nje ya nchi,biashara hiyo imeshamiri sana jijini Dar,wanawauza kwa bei ya juu kwa nchi kama,China,Korea.Saud Arabia etc,na huko wanaenda kuuza miili yao.Hebu fikiria ndo ndugu yako anafanyiwa hivyo

Hivi hii nchi inakwenda wapi tumeuza rasilimali zote za nchi hii sasa tumeingia kwa binadamu!!!????? hivi tunasema tunayo serikali ama ni mfano wa serikali jambo kama hili wizara ya mambo zetu husika sijui zinafanya nn..... kweli tuna safari ndefu ya kufika huko tuendako baada ya miaka 50 ya uhuru biashara ya utumwa inaendelea ..... aah jamani sijui Yesu arudi mara ya pili ndipo tuamke au...
 
<font color="#ff0000"><b>Hivi hii nchi inakwenda wapi tumeuza rasilimali zote za nchi hii sasa tumeingia kwa binadamu!!!????? hivi tunasema tunayo serikali ama ni mfano wa serikali jambo kama hili wizara ya mambo zetu husika sijui zinafanya nn..... kweli tuna safari ndefu ya kufika huko tuendako baada ya miaka 50 ya uhuru biashara ya utumwa inaendelea ..... aah jamani sijui Yesu arudi mara ya pili ndipo tuamke au...</b></font>
acha tu ndugu yangu, viongozi wetu wanafaidi AC za magari na wanakula raha maofisini. Ipo siku yao tu.
 
Back
Top Bottom