Biashara ya vyuma chakavu inatumaliza

Pragmatist

Member
Sep 21, 2012
18
1
Wizi wa kutisha wa nyaya za umeme umetokea Tanga na kusababisha viwanda kadhaa na hospitali kukosa umeme. tatizo hili liko maeneo mengi Tanzania na limeathiri miundombinu ya reli, simu, madaraja, barabara n.k. Kwa nini Serikali isipige marufuku kabisa biashara hii kama ilivyofanya Kenya? Au ni biashara ya vigogo?
 
Ndugu yangu' serikali ya ccm makada wake ndiyo wenye kumiliki viwanda vya kununua na kutengeneza vyuma, kwa mfano kile kiwanda cha MM..., Mwenge, mliki ni rafiki wa JK
 
Back
Top Bottom