Biashara ya vyombo vya mitumba kutoka nje...naomba ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya vyombo vya mitumba kutoka nje...naomba ushauri

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by tete'a'tete, Nov 4, 2011.

 1. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jfs,

  Naomba ushauri wenu nimejaribu kuchunguza nikaona kuna biashara ya vyombo vya mitumba watu wanafanya...swali ni hili kwa yeyote mwenye upeo na hii biashara je natakiwa niwe na mtaji wa sh ngapi na je vinapatikanaje huko bandarini au kuna mtu anajua vinakouzwa..nikisema vyombo naongelia vyombo vyote vya jikoni majumbani kwetu...ambayo ni second hand...

  Nawakilisha...
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  bakuli, vijiko, sufuria mtumba? karibu africa!
   
 3. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,351
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Na wateja wakubwa wa vifaa vya jikoni mtumba ni middle class wa TZ,maskini wananunua vyombo made in TZ brand za CELLO na plastic products zilizotengenezwa tanzania.
  sababu kubwa ni kuwa vitu vya mtumba vina ubora,vitadumu muda mrefu etc.
  binafsi sifagilii vitu vya mtumba kwani vinashusha UTU kiaaina,natumia vitu used kwa lengo la kuunga mkono Recycling for the environment.

  Mtoa Mada, nenda mwenge kuna maduka ya vitu used vya jikoni.watakupa muongozo.ila nahisi ulaya wanavichukua bure kwa lengo la kutoa misaada Africa
   
Loading...