Nicetengeneza juice ya parachichi mkuu...nenda sokoni ndani ndani wanauza bei sawa na bure. maparachichi ya 5000 utatengeneza juice ndoo kubwa mbili. ukiuza zote utapata elfu 25 faida elfu 20 . Hapa naongea ninachokifanya kila.siku.
Samahani mkuu, umenikumbusha siku moja nilikuwa nasafiri nikanunua juice ya kutengeneza ilikuwa imeganda nikaiacha, barafu liyeyuke, daaaah... ilikuwa maji matupu, nikainywa kibishi...ilinivuruga hadi mwisho kwa hisia mchanganyiko wa kurudisha chenji na kuendesha.tengeneza juice ya parachichi mkuu...nenda sokoni ndani ndani wanauza bei sawa na bure. maparachichi ya 5000 utatengeneza juice ndoo kubwa mbili. ukiuza zote utapata elfu 25 faida elfu 20 . Hapa naongea ninachokifanya kila.siku.
Bado sijaanza ndo natafuta ABC
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu hapa kamwe hutoweza pata jibu sahihi kwani mtaji inategemeana na location na ukubwa wa biashara unayotaka kufungua
Wewe upo mkoa gani? Kwa maana unategemea kufungua biashara hio wap? Kwa sabab changamoto zinatofautiana kulingana na mazingira
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwongozo ninao kupa ni kutembelea kwa mawakala wa vinywaji
Ndio utajua wapi uanzie
Hapo mtaji wako ndio utaamuaahsante, ok ina maanisha distributors wangu watakuwa hawa AGENTS wa hizi kampuni za vinywaji
Sent using Jamii Forums mobile app