Kila biashara au jambo lina experts, ndo maana watu wanauliza ili kujua mambo madogo madogo, kwaio kulima ndo unadhan unaweza fanya bila ushauri?Wewe sio mfanya Biashara..utapenda je kufanya biashara hata hujui vitu vya kuanzia kabisa bei.....wewe kalime tu.
Mkuu nisamehe kama ilijaenda vzr...Kila biashara au jambo lina experts, ndo maana watu wanauliza ili kujua mambo madogo madogo, kwaio kulima ndo unadhan unaweza fanya bila ushauri?
Lakini ndugu si unajua mwanzo mgumu,na anaejua leo mwanzo alikuwa hajui kama mleta madaWewe sio mfanya Biashara..utapenda je kufanya biashara hata hujui vitu vya kuanzia kabisa bei.....wewe kalime tu.
40+30=70Nina kret full 60,za soda,40 peps,30 coca,bei 9000@cret, karibj
Amevurugwa huyo!40+30=70
Why 60?
Haya maisha anaweza tokea mtu akakuukiza unaitwa nani ukabaki kumjibu ngoja niende kumuuliza mama.Amevurugwa huyo!
Hongera mkuu kuwa specific Usaidiwe kivipi ?
Kama mtaji unao, frame unayo,vitendea kazi baadhi vipi fika ofisini kwao utapata majibu mazuri zaidi. Ni vizuri wakukute umeshaanza kuuza.
Na huu msimu wa mavuno sherehe zipo nyigi jisogeze sana kwenye kamati za harusi,send off ili uwe unapata tenda ya kupeleka vinywaji.pia usicheze mbali na misiba.
Yote kwa yote ukihitaji kijana wa kukusaidia kazi zako nipo hapa mkuu
Nashukuru mkuu kikubwa pia nlitaka kujua kama naweza kufanya nao biashara ya Mali kauli kama nikisimama vizuri
Ok....Lazima ufanye nao kwanza kazi tena kwa uaminifu mkuu na viwango vyake mtaji ukishakua mkubwa wanakua wanakuletea mzigo wenyewe wanaacha hapo unauza
Mmeanza wala mbwa.
Mmeanza wala mbwa.