Biashara ya vinywaji vya jumla

M

mamuu246

Member
Joined
Jul 29, 2019
Messages
60
Points
125
M

mamuu246

Member
Joined Jul 29, 2019
60 125
Habari wana jf... naomba nisaidiwe namna ya kuwa distributor/agent wa vinywaji laini kutoka Kwenye kampuni za bonite, Pepsi, azam, Mo n.k nataka Kuanza biashara ya vinywaji vya jumla
 
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
739
Points
1,000
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2019
739 1,000
Hongera mkuu kuwa specific Usaidiwe kivipi ?
Kama mtaji unao,frame unayo,vitendea kazi baadhi vipi fika ofisini kwao utapata majibu mazuri zaidi.
Ni vizuri wakukute umeshaanza kuuza
Na huu msimu wa mavuno sherehe zipo nyigi jisogeze sana kwenye kamati za harusi,send off ili uwe unapata tenda ya kupeleka vinywaji.pia usicheze mbali na misiba.
Yoge kwa yote ukihitaji kijana wa kukusaidia kazi zako nipo hapa mkuu
 
kALEnga kidamali

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Messages
451
Points
500
kALEnga kidamali

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2015
451 500
Hongera mkuu kuwa specific Usaidiwe kivipi ?
Kama mtaji unao,frame unayo,vitendea kazi baadhi vipi fika ofisini kwao utapata majibu mazuri zaidi.
Ni vizuri wakukute umeshaanza kuuza
Na huu msimu wa mavuno sherehe zipo nyigi jisogeze sana kwenye kamati za harusi,send off ili uwe unapata tenda ya kupeleka vinywaji.pia usicheze mbali na misiba.
Yoge kwa yote ukihitaji kijana wa kukusaidia kazi zako nipo hapa mkuu
Eeeennhhh beee wisaka na kibarua, pede wi mwinya shida sana
 
M

mamuu246

Member
Joined
Jul 29, 2019
Messages
60
Points
125
M

mamuu246

Member
Joined Jul 29, 2019
60 125
Nashukuru mkuu kikubwa pia nlitaka kujua kama naweza kufanya nao biashara ya Mali kauli kama nikisimama vizuri
Hongera mkuu kuwa specific Usaidiwe kivipi ?
Kama mtaji unao,frame unayo,vitendea kazi baadhi vipi fika ofisini kwao utapata majibu mazuri zaidi.
Ni vizuri wakukute umeshaanza kuuza
Na huu msimu wa mavuno sherehe zipo nyigi jisogeze sana kwenye kamati za harusi,send off ili uwe unapata tenda ya kupeleka vinywaji.pia usicheze mbali na misiba.
Yoge kwa yote ukihitaji kijana wa kukusaidia kazi zako nipo hapa mkuu
 
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
739
Points
1,000
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2019
739 1,000
Nashukuru mkuu kikubwa pia nlitaka kujua kama naweza kufanya nao biashara ya Mali kauli kama nikisimama vizuri
Lazima ufanye nao kwanza kazi tena kwa uaminifu mkubwa na viwango vyake mtaji ukishakua mkubwa wanakua wanakuletea mzigo wenyewe wanaacha hapo unauza
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
32,328
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
32,328 2,000
Inapendeza... Kila la kheri...Cc: mahondaw
 
Forum statistics

Threads 1,334,268
Members 511,935
Posts 32,471,488
Top