Biashara ya vinywaji vya jumla-ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya vinywaji vya jumla-ushauri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Twilumba, Sep 4, 2011.

 1. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 5,944
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 280
  Wana JF habari za Jumapili!

  Naamini na ntaendelea kuamini kuwa JF ni kisima cha hekima na ushauri na ndio maana naleta kwenu ombi la ushauri juu ya uaanzishaji wa duka la vivywaji vya jumla.

  Kimsingi eneo nilipo linauhitaji wa duka la vinywaji vya jumla, baada ya kugundua hilo nimeona nipate ushauri namna ambavyo naweza kuanzisha duka hilo
  Kwa haraka haraka eneo (Location) kwa ajili ya biashara hiyo ipo na ni centre nzuri tu.

  Mwenye uzoefu namna ambavyo naweza kuanza biashara hiyo, kiasi cha mtaji , vinywaji kipaumblele, namna ambavyo naweza ku-link na depo za makapuni ya vinywaji hasa kwa mkoa wa (Arusha) kwa ajili ya ununuzi na la msingi kabisa upatikaji wa cret kwa ajili ya kuanzia, namna ya ununuzi wa pombe kali yaani gin, grands, wine na jamii zake.

  Kwa mawazo na uwezo wangu nilitaka nianze na cred 100 za beer, 100 za soda, kuhusu vinywaji vikali ntaomba kushauriwa zaidi!

  Nashukuru kwa ushauri ambao utatolewa!!

  Karibuni kwa ushauri.
   
 2. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 5,944
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 280
  Waungwana nasuburi ushauri wenu tafadhali!!
   
 3. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  sina uzoefu sana na mambo ya biashara lakini pamoja na kuwa umezingatia location, lakini pia angali unatarget nani awe mteja wako kwa mahali hapo,
  suala la crates kampuni za vinywaji wanaweza kukuazima,
  na pombe kali ukiwa nazo za aina mbalimbali i.e. gin, whisky, brandy, rum, liquer, champagne, nk.
  itakuwa ni nzuri na bei iwe reasonable,
  kwa maoni yangu labda wadau wengine wanauzoefu na haya mambo watakuelewesha
   
 4. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2016
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,506
  Likes Received: 4,170
  Trophy Points: 280
  Umefikia wapi mkuu
   
 5. papaa maglass

  papaa maglass Senior Member

  #5
  Oct 15, 2016
  Joined: Nov 27, 2014
  Messages: 109
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  japokua nimechelewa sana kuiona post yako lakini kama bado ujaanza nitaweza kukushauri baadhi ya vitu.
  Mimi nauzoefu wa zaidi ya miaka kumi kwenye hiyo biashara lakini ni kwa Dar es salaam.
   
 6. papaa maglass

  papaa maglass Senior Member

  #6
  Oct 15, 2016
  Joined: Nov 27, 2014
  Messages: 109
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Kwanza lazima nijue unamtaji kiasi gani, pili biashara ya makreti itakusumbua kama mtaji wako nimdogo kwani kreti 100 huwezi kua agent Bali utanunua kwama agent na faida itakua ndogo. Ila ushauri wangu deal na box tu kama mtaji nimdogo.
   
 7. P

  P.hunter Member

  #7
  Nov 29, 2016
  Joined: Nov 16, 2015
  Messages: 48
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  kaka nahitaji ufaham kidogo wa biashara hii u naweza nisaidia
   
 8. papaa maglass

  papaa maglass Senior Member

  #8
  Dec 4, 2016
  Joined: Nov 27, 2014
  Messages: 109
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Naweza mkuu bila hiyana.
   
Loading...