Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,284
- 10,665
Hivi maduka ya vifaa vya pikipiki Kariakoo yote ni ya vifaa vya Jumla?Fundi ni muhimu sana kuliko kitu kingine
1.uwe na fundí
2.uwe na location
3.Mtaji kias
Kkoo mtaa wa donge,swahili etc ndo mitaa ambayo tunapatikana wauzaj Wa jumla, usisite kututembelea
Bidhaa muhimu ni nyingi na zinategemeana na location na msimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app