Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,123
Ndugu hiyo biashara nimefanya faida ni kubwa lakini inakuja na masuala ya makadirio, kodi na usumbufu kadhaa!.. Pia ili uione faida isiyo na jasho sana uza spea feki, vifaa orijino kwa wabongo ni kama laana!.
Kitu kingine jua sana kufanya matangazo!.. Jishughulishe na vituo vya matangazo pamoja na kujitolea sana kuhudumia mteja kama ndio siku ya kwanza kuja dukani kwako!..
Uza spea mchanganyiko ukitaka tamaa ya faida kubwa lakini ukitaka jenga jina na heshima uza spea orijini pekee!.. Biashara ya spea imeingiliwa sana ukiamua kuwa wazi niambie eneo unalotakafungua Tz nikupe watu wa kukuongoza na ushauri!.
Nakutakia kila laheri kwenye biashara hiyo!.