CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
Biashara ya kuwa wakala huwa mara nyingi kama sio zote ni biashara za muda sana na sio sustainable. Make Ili uendelelee kuwepo kunahitaji mwenye mali aendelee kuwepo.
Chukulia mfano ulikuwa umefungua Office na ukawa wakala wa Fastjet na Fastjet leo hii hawapo tana na wewe huna namna na haupo tena.
Hata hizi wakala wa Mpesa sijui Tigo pesa ni biashara za mida tu kwa sababu siku Voda wakibadilisha mifumo na wewe ndo mwisho wako. Siku jamii ikianza kutumia cashless basi na wewe itabidi utafute biashara nyingine ya kufanya.
Hivyo mara zote uwakala sio sustainable kwamba sio biashara ya kukuweka miaka mingi ijayo kama ilivyo biashara kama za manufacture na kadhalika.
Biashara za uwakala ni za kutafutia pesa tu ili mtu akafanye investment zingine.