Biashara ya uwakala wa bima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya uwakala wa bima

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Crucifix, Nov 12, 2011.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ninaishi katika mji mdogo usio na ofisi ya bima. Kutokana na ongezeko la pikipiki za mchina ninatamani kuwa wakala wa bima kwani madereva wanaendesha mwendo mrefu kutafuta huduma hiyo ili wasikwaruzane na polisi. Je, inahitajika taaluma ya juu kuwa wakala wa bima? Na ni yepi majukumu ya wakala pale pikipiki au gari inapopaswa kulipiwa baada ya ajali au upotevu?

  Nisaidieni mawazo jamani na mimi nitajirike......
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
Loading...