rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
Kitendo walichofanyiwa babu zetu kwa kukamatwa na kuuza na waarabu kinatia uchungu na kamwe hatutanyamaza mpaka waliotenda dhambi hiyo walipe gharama za hiyo dhambi
ninafikiria kuwasiliana na wanasheria wa kimataifa ili wanisaidie kufungua kesi dhidi ya mataifa ya kiarabu kwa kitendo chao cha kuwakamata,kuwanyanyasa,na kuwauza babu zetu kama watumwa
kwa sababu record zipo za kutosha naamini nitapata waafrica wengi wa kuniunga mkono kwenye hili ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo.