Biashara ya Utumwa--Nafungua kesi mahakama ya kimataifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya Utumwa--Nafungua kesi mahakama ya kimataifa

Discussion in 'International Forum' started by rosemarie, Sep 10, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Kitendo walichofanyiwa babu zetu kwa kukamatwa na kuuza na waarabu kinatia uchungu na kamwe hatutanyamaza mpaka waliotenda dhambi hiyo walipe gharama za hiyo dhambi
  ninafikiria kuwasiliana na wanasheria wa kimataifa ili wanisaidie kufungua kesi dhidi ya mataifa ya kiarabu kwa kitendo chao cha kuwakamata,kuwanyanyasa,na kuwauza babu zetu kama watumwa
  kwa sababu record zipo za kutosha naamini nitapata waafrica wengi wa kuniunga mkono kwenye hili ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo.
   
 2. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,356
  Trophy Points: 280
  ^ Sasa utamfunga nani?
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nafungulia mataifa ya kiarabu yaliyodhalilisha babu zetu ili ibaki kwenye kumbukumbu ya vizazi vyote vilivyopo na vijavyo
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  please read this

  Slavery had been abolished in Great Britain in 1772 by Lord Mansfield in R v Knowles, ex parte Somersett[SUP][2][/SUP] and Britain had outlawed the slave trade with the Slave Trade Act in 1807, with penalties of £100 per slave levied on British captains found importing slaves (treaties signed with other nations expanded the scope of the trading ban

  100 pound fine
  i did not know we are soo cheap
   
 5. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Anza na wabritish kwanza na ndio waliwafundisha warabu.
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Historians estimate that between 10 and 18 million Africans were enslaved by Arab slave traders and taken across the Red Sea, Indian Ocean, and Sahara desert between 650 and 1900
   
 7. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,356
  Trophy Points: 280
  kwani waafrika walianza kutawaliwa na waarabu kwanza au wazungu kwanza? Au wewe ni mwarabu nini?
   
 8. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  hata Wa Britain walivmikishwa na Romans
   
 9. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  nakuunga mkono ni Pm am Lawyer by proffesion
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu tupo pamoja,wazungu wanatuangalia sisi waafrica ni watu wa aina gani,inawezekana ku-sue wote waliohusika na tukio hilo la madharau kwa binadam
   
Loading...