Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,940
- 6,854
- Thread starter
- #21
unauhakika na unalolisema?
Sasa unachotaka kusema ni kuwa soko la watumwa halikuwepo? Kanisa ndiyo lilikuwa soko la watumwa? Kanisa lilijengwa kabla ya biashara ya utumwa kupigwa marufuku? kama ni hivyo, basi wewe uliye msomi8 unajua lugha takriban saba na dialect kibao) tufahamishe kuhusu yafuatayo:
a) je biashara ya utumwa ilikuwepo unguja?
b) Je soko la watumwa lilikuwepo unguja?
c) Kama lilikuwepo, lilikuwa eneo gano pale unguja?
d) kanisa la kianglikana lilijengwa lini?
e) Je lilipokamilika biashara ya utumwa ilikuwa bado inaendelea?
f) Kama ilikuwepo ilipigwa marufuku lini na nani?