Biashara ya usafiri wa ndege ni kama mahari ya binti halirudishi gharama za kumlea na kumkuza

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,171
5,905
Tanzania kinyume kabisa na uhalisia wa duniani imeamua kufufua shirika lake la ndege ATCL. Kwa uhalisia bila mkono wa serikali hakuna uwezekano wa shirika la ndege la taifa kubaki kwenye biashara. Shirika la ndege ni mtaji wa kisiasa kwa walio madarakani na wanaoyataka hayo madaraka- inategemea ni wakati gani. Kwa wakati huu kwa Tanzania kulikuwpo na kiu ya kuwa na shirika la ndege ili KUJIMWAMBAFY basi. Atakaye simama kutuzuia sisi KUJIMWAMBAFY kuwa tuna ndege huyo hayuko na sisi kwa sasa labda baadaye KUJIMWAMBAFY kutakapotulia

4 Reasons Why Airlines Are Always Struggling

BY INVESTOPEDIA STAFF

Updated Jun 25, 2019

The airline industry is no stranger to bankruptcies. American Airlines (AAL), United (UAL) and Delta (DAL) have at one point filed for bankruptcy, but all recovered by merging with other airlines. The list of airlines that weren't so lucky is even longer. Considering the vital nature of the service it provides and its invaluable contribution to making the world a smaller place, why is the airline industry synonymous with ongoing losses and insolvency? We list four reasons why airlines are always struggling.

Unprofitable Airlines Continue to Fly

An industry that has been known to be unprofitable for decades would be eventually forced by market participants to undergo consolidation and rationalization in an attempt to find a better way to do business. Not so for the airline industry, for whom this basic business precept does not seem to fly, so to speak. Many unprofitable airlines continue to remain in business despite years of substantial losses, because various stakeholders cannot afford to let them close.
Closing down a large unprofitable airline would involve the loss of thousands of jobs, inconvenience to hundreds of thousands of travelers, and millions in losses for the airline's creditors. Not to mention the loss of national pride if the airline in question is a national carrier.

Because closing down a floundering airline is a politically unpalatable decision, governments will usually provide it with a financial lifeline to stay in business. But struggling airlines often have to resort to cut-throat pricing to fill up their excess capacity, and as a result, even the stronger players in the industry are adversely affected by this lack of pricing power.

High Fixed and Variable Costs

Aircraft are very expensive pieces of equipment, and airlines have to continue making large lease or loan repayments regardless of business conditions. Large commercial jets can have a lifetime as long as 25-30 years. Airlines also need large labor forces to run their complex operations, making payroll expenses another component of relatively fixed costs that have to be incurred month after month. Volatility in oil prices is yet another challenge that airlines have to contend with. Add in security costs that have skyrocketed after 9/11, and it is apparent that few airlines can surmount the formidable obstacle of their high-cost structure.

Exogenous Events Can Suddenly Affect Demand

The airline industry is particularly vulnerable to exogenous events such as:- terrorism,

political instabilities

natural disaster,

which can drastically affect their operations and passenger demand. For example, in April of 2010, airlines collectively estimated to have racked up losses in excess of $2 billion from the closure of European airspace, caused by massive ash clouds following a volcanic eruption in Iceland. The U.S. airline industry suffered losses of about $7.7 billion in 2001 despite massive federal aid, largely due to a plunge in passenger demand after the 9/11 attacks.

Reputation for Hassles and Poor Service

  • Long lines due to security procedures at check-in,
  • cramped seating, inconvenient schedules,
  • poor service
the list of airline travelers' complaints is a lengthy one. The perception that air travel is an ordeal makes it very difficult for airlines to charge the higher prices that are necessary to return to profitability. Social media has propelled a number of what can only be described as PR disasters recently, and undoubtedly caused harm to the industry.

The Bottom Line

Airlines provide a vital service, but factors including the continuing existence of loss-making carriers, bloated cost structure, vulnerability to exogenous events and a reputation for poor service combine to present a huge impediment to profitability. While a handful of low-cost airlines have successfully managed to post consistent profits, by and large, profitable airlines are few and far between.
 
Ndege tayari tunazo, leteni mawazo ya nini kifanyike. Ina maana wewe hapo ulipo upo comfortable kabisa ukisubiri biashara ife na taifa lipate hasara? Tumieni muda kutengeneza altenative plans na kuziweka humu. Come a time zitachukuliwa na kufanyiwa kazi.
Haiwezekani kila wazo lifanyiwe kazi kwa wakati mmoja, ndiyo maana kuna wakati tunapaswa kuwa na subita ili kutoa nafasi na muda zaidi wa kujaribu kila wazo. Malaysia, China, Marekani, Japan, South Korea, France, South Africa, Thailand n.k zote zimeendelea lakini haimaanishi kwamba wametumia mawazo ya aina moja kufika pale alipo.
 
Huu utabaki kua ni mtizamo wako tu

Inaonekana ukipata nafasi unaweza kuzichoma moto

Well done guy

Sr kinjikitile, akili yako imeishia hapo? kwa hiyo kwa nile mhari ya binti yangu hairudishi ghrama ya kukmkuza basi nimuue? utakuwa umelewa kimpumu
 
Mzungu anaingiaje hapo Mkuu

Kwa kipindi cha nyuma wakati shirika letu limekufa, tulikuwa tunatumia pesa nyingi za kigeni kupanda ndege za Nchi nyingine

Watalii wanaokuja Tanzania tulikuwa hatufaidi sana pesa yao

Ila kufufuliwa kwa shirika kutaongeza pesa ya kigeni maradufu
Mzungu katutawala kiakili na kuwaaminisha kumiliki ndege ni pride kwa nchi hata kama zinatia hasara.kumbe wao wanafanya biashara!
 
Poleni sana!!!
 
Una hangaika kiuchumi kufufua uchumi unaenda kununua kitu kitakacho kutia hasara una akili harafu tuwaze nini mbadala mawazo mengine buana kama unatoka kunya.
Nyumbani kwako huna pesa unaenda kukopa kwa jirani ufanye sherehe
Ndege tayari tunazo, leteni mawazo ya nini kifanyike. Ina maana wewe hapo ulipo upo comfortable kabisa ukisubiri biashara ife na taifa lipate hasara? Tumieni muda kutengeneza altenative plans na kuziweka humu. Come a time zitachukuliwa na kufanyiwa kazi.
Haiwezekani kila wazo lifanyiwe kazi kwa wakati mmoja, ndiyo maana kuna wakati tunapaswa kuwa na subita ili kutoa nafasi na muda zaidi wa kujaribu kila wazo. Malaysia, China, Marekani, Japan, South Korea, France, South Africa, Thailand n.k zote zimeendelea lakini haimaanishi kwamba wametumia mawazo ya aina moja kufika pale alipo.
 
Una hangaika kiuchumi kufufua uchumi unaenda kununua kitu kitakacho kutia hasara una akili harafu tuwaze nini mbadala mawazo mengine buana kama unatoka kunya.
Nyumbani kwako huna pesa unaenda kukopa kwa jirani ufanye sherehe
ANA MAHABA MKUU
 
Tusitosane, tuendelee kushikamana.
Hivyo hata kama hatukubaliani basi tusaidie lifanikiwe. Mawazo mazuri mnayo, uchumi mzuri wa kupanda ndege mnao tulitumie shirika letu. Hakuna namna ambayo mawazo ya kila mmoja yatafanyiwa kazi hivyo ikishindikana katika hatua ya awali basi tusichoke kwa hatua zijazo
 
Mzungu katutawala kiakili na kuwaaminisha kumiliki ndege ni pride kwa nchi hata kama zinatia hasara.kumbe wao wanafanya biashara!

Nakubali 100%.

US wanatuuzia Dreamliner kwa $200 million plus.

Baada ya hapo kinachofuata ni:

1. Spare parts
2. Tyres
3. Services and maintenance
4. Training

Hizi ndege zina lifetime ya 30 years. Kwa hiyo Boeing atatengeneza profit maradufu. Maybe even $1 billion. Who knows.

Sisi inabidi tufikirie namna gani ya kuwanyonya hela wao. Lakini hapa wanaonyonywa ni sisi. All for what?

Wamarekani wakija bongo kutalii hawaachi $200 million kamwe.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom