Biashara ya usafiri wa ndege ni kama mahari ya binti halirudishi gharama za kumlea na kumkuza

..Visiwa vya Bahamas wanapokea watalii karibia mara 4 ya watalii wanaokuja Tanzania.

..Shirika la ndege la Bahamas limekuwa likipata hasara kwa miaka mingi. Majuzi walipata faida ya usd 500k.

..Hivyo ndivyo biashara ya usafiri wa anga ilivyo.
Usikariri maisha mkuu Jokakuu, mikakati ya Bahamas sio ya ATCL. Tuwaamini watendaji wetu wazalendo. Tumekuwa tukiwakwaza sana katika mijadala kama hii ya JF.
 
kt the irreplaceable, tunapojiringanishaga na Rwanda huwa ninasikitika sana. Na ndiyo maana mimi kama mimi sababu ya kuunga mkono sisi kuwa na ndege ni IJIMWAMBAFY tu basi. Nitaendelea kuunga mkono sisi kuwa na ndege kama tutakubaliana wote kuwa ndege ni sawa na gereza- tusitegemee faida hivi karibuni.
Sijalinganisha na Rwanda nimesema "kanchi kadogo kama Rwanda kanatushindaje? Yaani ilikua ni aibu watanzania wanaenda London wanapanda Rwanda airways. Rwanda inakua popular duniani, wamejitangaza sana... Lkn hawana kitu cha maana. Tanzania tuna karibu kila kitu ila Tulilala sn
 
Sijalinganisha na Rwanda nimesema "kanchi kadogo kama Rwanda kanatushindaje? Yaani ilikua ni aibu watanzania wanaenda London wanapanda Rwanda airways. Rwanda inakua popular duniani, wamejitangaza sana... Lkn hawana kitu cha maana. Tanzania tuna karibu kila kitu ila Tulilala sn
kt the irreplaceable, kwanini sababu ya kufanya jambo iwe ni fulani naye kafanya. Unahabari kwamba Rwanda walikopa WB kununua hizo ndege? Na sisi tulikopa wakati huo huo tukajenga barabara na shule za kata- halafu tunajiona wanyonge mbele ya Rwanda- kisa Rwanda air?
 
Mimi nashangaa sana watu wanaolaumu washauri, au wanaosema Magufuli ashauriwe hivi au vile.

Magufuli ana sources za intelligence nzuri kuliko mtu yeyote Tanzania, na akitaka kujua kitu hashindwi.

Tatizo ana political ideoligy yake na hataki ushauri.

Sasa mtu kama huyo unamshauri vipi?
Tatzo wengi wetu ni wanafiki utafikiri hawamjui mtu wenyewe alivyo
 
Back
Top Bottom