Biashara ya usafiri wa anga ni ngumu; inahitaji kujipanga hasa tena sio kidogo

Brother Salary Slip mbona bandiko bado haujaliweka nyama? hata hivyo ni kweli kabisa airline business ni very delicate kind of business. Nimewahi kufanya kazi katika mashirika mawili Tanzania na nilikuwa na excess kubwa ya kuona mipango mingi ya ndege, niseme tu kama haujaipanga ni bora usianzishe shirika la ndege, kuna accountant mmoja mashuhuri alikuwa anafanya kazi kwa tajiri flani hivi bongo aliwahi kuniambia jamaa alikuwa anataka kuanzisha ndege wataalamu wakamwambia ajiandae na loss kubwa ya 6 months kabla biashara haijamletea faida..... akanyamaza kimya hadi leo
 
Hiyo biashara ni ngumu kweli haina dalali wa tiketi wala pakia shusha kila kituo hivyo lazima ujipangee
 
Brother Salary Slip mbona bandiko bado haujaliweka nyama? hata hivyo ni kweli kabisa airline business ni very delicate kind of business. Nimewahi kufanya kazi katika mashirika mawili Tanzania na nilikuwa na excess kubwa ya kuona mipango mingi ya ndege, niseme tu kama haujaipanga ni bora usianzishe shirika la ndege, kuna accountant mmoja mashuhuri alikuwa anafanya kazi kwa tajiri flani hivi bongo aliwahi kuniambia jamaa alikuwa anataka kuanzisha ndege wataalamu wakamwambia ajiandae na loss kubwa ya 6 months kabla biashara haijamletea faida..... akanyamaza kimya hadi leo
Hayo maelezo yanajitosheleza/yanaleta picha kamili hivyo ni vizuri kila mtu ang'amue mwenyewe.
 
Sio tu kujipanga,watu wangapi wanapesa kupanda bombardier nchi hii,strategy yao iwalenge watalii hasa kufungua fursa mpya sio kulikozoeleka kunakuwa na ushindani sana
 
Hayo maelezo yanajitosheleza/yanaleta picha kamili hivyo ni vizuri kila mtu ang'amue mwenyewe.
Hujawahi kupinga jambo ukafanikiwa,bahati mbaya huwa unaegemea kwenye taarifa za kunyonfoa mitandaoni kama sakata la Acacia na bombardier,mwisho wa siku ukapotezwa vibaya sana
Hizi ndege zetu zitakuja na shirika litainuka kinyume na matakwa yako
 
Back
Top Bottom