Biashara ya Upatu

Mtumishi Anyi

Member
Sep 11, 2018
25
45
Biashara ya upatu ni biashara inayo kuwezesha kuinvest katika digital platform na kujipatia kipato zaidi kulingana na juhudi zako huku mtaji mkubwa ukiwa ni bando lako na charji kupitia smartphone yako tu,
Kuna platform mbalimbali zinazo oparate hizo biashara
Ukiachana na platfom zingine, leo naenda tuiangalie platform inayoitwa*secure earning money* hii ni platform mpya iliyozinduliwa tar 22/05/2021.
ni platform inayo milikiwa na kampuni ya ceenet technologies company ya nchini kenya.

Nafikiri umewahi sikia kua kunawatu wanapata pesa kwa kutumia simu (smartphone) huku mtaji mkubwa ikiwa ni bando na chaji tu... hiyo ni kweli kabisa unaweza kufanya hii bussines kwa kutumia simu yako bila kuharibu ratiba zako za kila siku
NAMNA YA KUCHEZA ILI UPATE PESA

Ili uweze kucheza na kuanza kujipatia kipato, kwanza ni lazima ujisajili(ufungue akauti) katika platform husika, na namna ya kujisajili, unatumiwa link ambayo ukiifungua itakuletea ukurasa ambao utatakiwa kujaza taarifa zako, ukisha maliza kujaza taarifa zako na kutuma utatakiwa kuilipia account yako ili iwe activited kwa kiasi cha Tsh, 13,500 tu. Ukisha lipia hapo utakua tayar umejisajili na kuanza kuitumia.

HATUA INAYOFUATA

Hatua inayo fuata baada ya kukamilisha usajili utapewa linki ya kwako binafsi ambayo utaitumia kwa kuisambaza kwa wengine ili nawao wajiunge, na wanapo jiunga kwa pesa ileile kama ambavyo ulijiunga ndivyo akaunt yako itaanza kusoma pesa,

Mfano;
Mtu mmoja utakayemfanikisha kujiunga, nusu ya hela (Tsh, 7,500) itaingia kwenye account yako.
Pia utaweza kupata pesa kwa kucheza michezo mbalimbali iliyopo kwenye hii platform

Mfano,
1. Spinning
2. Kutazama video zitakazo postiwa
3. Kufanya maswali
4.kuandika story na mengine mengi.
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
5,617
2,000
Mkuu Pyramid Schemes ni Illegal...

Ili usikumbane na mkono wa Sheria lazima uonyeshe product yako ni nini ? , Mtu akitoa joining fee anapata nini / ananunua nini na nyie mnafanya nini ili kupata faida, na sio kutumia pesa za membership fee za waliojunga sasa (kuchukua cha juu) na kuwapa watakaojiunga baadae...

Hence kwa ushauri badala ya kuuza membership ili upate pesa na kutumia hizo pesa kuwapa members wa zamani ni bora ukauza hizo services za ulizoweka hapo chini i.e. kuangalia videos, kujibu maswali na kuandika stories (au kununua services kwa watu watakofanya hayo uliyoweka hapo chini na wewe kuyauza pengine na mgawane faida na wale waliofanya hayo)
 
FURY BORN

JF-Expert Member
Jul 11, 2020
523
1,000
Biashara ya upatu ni biashara inayo kuwezesha kuinvest katika digital platform na kujipatia kipato zaidi kulingana na juhudi zako huku mtaji mkubwa ukiwa ni bando lako na charji kupitia smartphone yako tu,
Kuna platform mbalimbali zinazo oparate hizo biashara
Ukiachana na platfom zingine, leo naenda tuiangalie platform inayoitwa*secure earning money* hii ni platform mpya iliyozinduliwa tar 22/05/2021.
ni platform inayo milikiwa na kampuni ya ceenet technologies company ya nchini kenya.

Nafikiri umewahi sikia kua kunawatu wanapata pesa kwa kutumia simu (smartphone) huku mtaji mkubwa ikiwa ni bando na chaji tu... hiyo ni kweli kabisa unaweza kufanya hii bussines kwa kutumia simu yako bila kuharibu ratiba zako za kila siku
NAMNA YA KUCHEZA ILI UPATE PESA

Ili uweze kucheza na kuanza kujipatia kipato, kwanza ni lazima ujisajili(ufungue akauti) katika platform husika, na namna ya kujisajili, unatumiwa link ambayo ukiifungua itakuletea ukurasa ambao utatakiwa kujaza taarifa zako, ukisha maliza kujaza taarifa zako na kutuma utatakiwa kuilipia account yako ili iwe activited kwa kiasi cha Tsh, 13,500 tu. Ukisha lipia hapo utakua tayar umejisajili na kuanza kuitumia

HATUA INAYOFUATA

Hatua inayo fuata baada ya kukamilisha usajili utapewa linki ya kwako binafsi ambayo utaitumia kwa kuisambaza kwa wengine ili nawao wajiunge, na wanapo jiunga kwa pesa ileile kama ambavyo ulijiunga ndivyo akaunt yako itaanza kusoma pesa,
Mfano;
Mtu mmoja utakayemfanikisha kujiunga, nusu ya hela (Tsh, 7,500) itaingia kwenye account yako.
Pia utaweza kupata pesa kwa kucheza michezo mbalimbali iliyopo kwenye hii platform
Mfano,
1. Spinning
2. Kutazama video zitakazo postiwa
3. Kufanya maswali
4.kuandika story na mengine mengi.

Kama utakua interested unaweza kuingia kwa hii link.
Kwa maelezo zaidi au ukiwa na swali lolote call/WhatsApp 0766428475
Sasa mkuu kuliko kupoteza muda huu si ununue smart vitoch kama kumi hivi upige hela
 
BOFREE

JF-Expert Member
Mar 1, 2012

huu ni utapeli sio biashara yaan unafaidika kwa kutumia nguvu kushawishi nwingne ajiunge na hamna biashara yoyote unayofanya hii biashara aliepo juu ndio anafaidika

kuliko kufanya hii biashara ya pyramid scheme ni bora utumie nguvu mjikusanye hata watu 100 mchange 50000 kila mmoja mfanye illegal business yenye mtaji wa 5,000,000

note hii biashara ukiishajiunga hautapata mtu wa kujiunga ndio itakua imekula kwako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom