Wakuu nimevutiwa na kufanya hii biashara ya kutengeneza keki na kuuza kwa watu binafsi, taasisi na sherehe za hapa na pale.
Kwa wale wazoefu naombeni msaada kujua.
Mtaji wake kiasi gani
Gharama za uendeshaji zipoje
Faida yake je inalipa haraka au la
Changamoto zake kubwa ni nini.
Nitashukuru sana Nikipata maoni yenu, maana sehemu nayotaka kufanyia biashara naona kuna opportunity kubwa maana wafanya biashara hii wachache.
Ahsante nimeuliza mapema ili nijipange chanzo cha mapato, unaweza kopa ukashindwa rudisha marejesho kwa wakati kutokana na aina ya biashara.kikawaida tunafeli biashara maana tunataka biashara za kulipa HARAKA km ulivyosema ,biashara haiend hvyo mamy kuwa na subra ,nakutakia kila la heri
Ahsante nimeuliza mapema ili nijipange chanzo cha mapato, unaweza kopa ukashindwa rudisha marejesho kwa wakati kutokana na aina ya biashara.
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Sawausithubutu kukopa my dear ukitegemea kuanzisha biashara,utalia,,anzia na hela yako mwenyew
mkuu hizi oven ndogondogo hauna?Mimi nauza vifaa vyote vya bakery kwa bei nafuu kama bread slicers,spiral mixers,speed mixers pamoja na oven za gas na umeme.View attachment 526549Hii ni oven ya gas ina 3 layers pamoja na 9 trays,nauza 4 millions.
kiwanda cha mkate hakina gharama we fungua tu unanunua oven unaanza kubake mikate kazi imeisha haina hata haja ya kuomba ushauri humuHabari zenu,
mimi ni graduate Kutoka chuo kikuu hapa Tanzania,ninataka kujiajiri kwa kuanzisha kiwanda cha mikate,wazo hili limekuja kutokana na wilaya niliyopo kutokuwa na kiwanda hata kimoja cha mikate kwani hutegemea mikate kutoka nje ya wilaya.
Kutokana na masomo niliyosoma chuo kikuu,nikaona bora nijiajiri huku kwani ndio fani yangu kubwa.
Ninaomba ushauri na msaada wapi nianzie?
ili mtu aweze kuwa na complete Bakery vifaa vipi vinahitajika na Total bei ganitemix biashara ya bakery ni biashara inayolipa vizuri tu.
Mimi nasupply vifaa vyote vya bakery kama gas/electric oven,spiral and speed mixers,profers,bread slicers kwa gharama nafuu.
0715677739 Dar
View attachment 538934