Habari mkuu
Mimi Nina vifaranga 20 nusu vina mwezi na wiki3 vingine mwezi mmoja sasa sijui chanjo yoyote vina vaa koti vina nyongea vingine vilikufa nikavitoa kwa mama zao nimeweka kwenye box wanaishi humo niwape dawa gani au nifanyeje
tumia ESB3...30% na vitamin ikiona wanaendelea watafutie dawa ya minyoo. wakiugua zaidi nenda kwa dr wa mifugo hasa maduka ya madawa ya mifugo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya safari ya muda mrefu wa kujibana matumizi nimefanikiwa kujenga baada pembezoni mwa nyumba yetu lenye eneo kubwa la uzio wa matofali. Nimeanza kwa kununua kuku wa kienyeji wadogo wa miezi miwili na mitatu 100 nategemea kuwa na majogoo 20 na wanaotaga 70. Malengo niliojiwekea ni kuku 50 watage kwa awamu mbili kwa mwaka huu. Kila kuku awe na vifaranga 6 kwa awamu moja, hivyo kwa awamu mbili kila kuku nategemea awe na watoto 12 nikizidisha na kuku 50 napata kuku 60 ambayo nitauza kwa Tsh 6000 kwani sitangoja wawe wakubwa sana. Hivyo kwa mwaka huu natarajia kukusanya Tsh 3000000. Soko langu limelenga sikukuu mbili kubwa. Yaani Eid na Christmas. Mungu nisaidie nifanikiwe malengo yangu. Naombeni ushauri, maoni na pia nikosolewe kama ninakosea.

Pia hela ya kununulia chakula na dawa nimeshaandaa angalau kila mwezi laki moja kwani ni kuku wa kienyeji ambao wanakula pumba tu.

Niko Muheza Tanga

Hapo kwenye bold...
Kuku yeyote hahitaji pumba tu; anahitaji protin, mafuta, + kila kirutubisho kinachohitajika kwa mfugu. Njia rahisi ya kukusaidia kupunguza gharama za chakula ni kujifunza namna ya kuzalisha Hydroponics Fodder - kwa sababu ndani ya fodder kunakuwa na mafuta pia.
Pia kama ni 0-grazing utalazimika kujifunza namna ya kuzalisha funza na minyoo. Na kwenye madawa .. jitahidi hapo kwako upande miti ya mlonge, aloe vela mipapai miembe n.k.
Yangu ni hayo.
 
Asante sana

Changamoto nyingine ambayo binafsi nimeshawahi kukutana nayo kwa kuku kula pumba sana ni kuwa na mafuta mengi ambayo kwa baadhi hupelekea kushindwa kutaga as expected.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya safari ya muda mrefu wa kujibana matumizi nimefanikiwa kujenga baada pembezoni mwa nyumba yetu lenye eneo kubwa la uzio wa matofali. Nimeanza kwa kununua kuku wa kienyeji wadogo wa miezi miwili na mitatu 100 nategemea kuwa na majogoo 20 na wanaotaga 70. Malengo niliojiwekea ni kuku 50 watage kwa awamu mbili kwa mwaka huu. Kila kuku awe na vifaranga 6 kwa awamu moja, hivyo kwa awamu mbili kila kuku nategemea awe na watoto 12 nikizidisha na kuku 50 napata kuku 60 ambayo nitauza kwa Tsh 6000 kwani sitangoja wawe wakubwa sana. Hivyo kwa mwaka huu natarajia kukusanya Tsh 3000000. Soko langu limelenga sikukuu mbili kubwa. Yaani Eid na Christmas. Mungu nisaidie nifanikiwe malengo yangu. Naombeni ushauri, maoni na pia nikosolewe kama ninakosea.

Pia hela ya kununulia chakula na dawa nimeshaandaa angalau kila mwezi laki moja kwani ni kuku wa kienyeji ambao wanakula pumba tu.

Niko Muheza Tanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi aliyewaambia watanzania kufuga kuku ndio kutoka ni nani?
 
Hata Mie nimeanza kufuga kwa kuku kuchi 2 na dume lake 1 sasa Nina vifaranga vya kuku kuchi 13 vya mwezi 1 matarajio yangu hadi mwezi wa sita mtakua nao wengi kwa kuuza biashara
 
Back
Top Bottom