Write your reply... kwa aliepata chuo cha ustawi ngazi ya cheti na anahitaj chumba karibu na chuo cha ustawi wa jamii bamaga
 
Wadau naomba msaada wa dawa/mbinu ya kuzuia banda la kuku lisitoe harufu kali.
Pia naomba nijuzwe dawa ya kuua utitiri/viroboto...
Nitangulize shukrani za dhati,karibu mnisaidie mjasiliamali mwenzenu...
 
Kwa wataalam wa humu nina maswali,Kwanza gumboro baada chanjo mbili za mwanzo kwa vifaranga wa siku 14 na 28 inarudiwa tena baada ya muda gani au hairudiwi tena? kwani kwa kideri baada hiyo chanjo mbili za mwanzo hurudiwa kila baada yamiezi 3 kwanini maisha yao yote.
Pili chanjo ya ndui huchanjwa vifaranga wakifikisha miezi 2 na hurudiwa baada miezi mangapi au hairudiwi tena? Mwisho kama vifaranga viliugua gumboro(hawakupata chanjo) na waliopona wana umri wa miezi 2 niwachanje gumboro au niwaache tu?
 
Ndui(Marek's)inachanjwa Mara moja Siku ya 1 hartchary pamoja na wiki ya 7

Gumbolo Sikh 10-10,Siku ya 28,
 
Ndui(Marek's)inachanjwa Mara moja Siku ya 1 hartchary pamoja na wiki ya 7

Gumbolo Sikh 10-10,Siku ya 28,
Ndui(fowl pox) na Marek ni magonjwa tofauti. Marek huchanjwa mara moja pale wanapoanguliwa na hairudiwi ila hiyo nyingine tofauti na ya kideri ndio sijui inarudiwa mara baada ya muda gani.
 
Wadau nahitaji mwenye kujua njia za asili za kutotolesha vifaranga wengi kwa kuku wa kienyeji_Natanguliza shukrani za dhati
 
Machine hii inaweza kukusaidia kutoa manyoya kuku wako kwa haraka zaidi.

Kunyonyoa kuku 90-120 kwa saa na haichukui umeme mwingi kabisa.

Kama unahitaji niconnect.

Asanteni
 
Attachments

  • IMG_2767.JPG
    IMG_2767.JPG
    41.1 KB · Views: 197
  • IMG_2768.JPG
    IMG_2768.JPG
    33.3 KB · Views: 163

Similar Discussions

Back
Top Bottom