Jamani msaada nahitaji vifaranga kutoka ruvu jkt .....naomba mnieleweshe utaratibu wake na wanauza kuanzia vifaranga vingapi....kama kuna contact zao au email pia naomba mnipatie waungwana

Ahsante
 
Habari zenu wadau. Kutoka na vyuma kukazaa ile mbaya MTU mzima niliamua kuwekeza kwenye ufugaji wa kuku nimekutana na changamoto mbali mbali ,ila hii niliyokutana siku za karibuni ndo amenifanya kuomba msaada kwa wazoefu humu ndani JF. Kuku wawili wanataga mayai sehemu moja na yamechanganyika idadi yapo matano je? Nini nifanye ili kila kuku aendelee kutaga eneo lake bila kuathiri utagaji wao .tusaidiane tafadhari kuuliza si ujinga.
Waache waendelee kutaga mpaka kuku mmoja atakapoanza kulalia ndio itakua rahisi kuwatenganisha
 
Unauzaje mayai na unapatikana wapi Mkuu
Mkuu habari, unapatikana wapi na contact zako vipi. Nataka kuanza ufugaji nina banda, eneo la kutosha kabisa, na mtaji ninao....nataka kuanza katika starter stage ili kupata uzoefu na ujuzi kuelekea ufugaji wa kibiashara mkubwa. Please naomba tuwasilianao mkuu.
 
Nipo Moshi mkuu
 
Tunatotoresha vifaranga kwa bei ya 8000 kwa tray; kifaranga 1500. Tunapatikana kibada kigamboni kwa 0682 231053 tuwasiliane tubadikishane uzoefu.
 
Wanauzwa kuku kuroiler na chotara wa kienyeji na kuroiler wapo bunju dsm wana miezi 9. Wapo 60 (mitetea 40 majogoo 20) na wanauzwa wote pamoja kwa bei ya jumla. Njoo pm tuongee.
 
Wanauzwa kuku kuroiler na chotara wa kienyeji na kuroiler wapo bunju dsm wana miezi 9. Wapo 60 (mitetea 40 majogoo 20) na wanauzwa wote pamoja kwa bei ya jumla. Njoo pm tuongee.
Picha hizo
IMG-20180814-WA0009.jpg
IMG-20180814-WA0008.jpg
 
Chakula changanya pumbaa za mahindi na dagaa. Weka na maji ya kunywa. Banda Liwe imara.
Niliifanya hii biashara back 1992 nilifikisha kuku 200.
Wakitotoa nilitoa watoto kwa mama zao baada ya wiki mbili na kuwaweka kwenye tenga lililofunikwa. Mama zao walitaga tena.
 
Aisee laki moja ni kubwa sana kama una eneo tayari. Mi nilikuwa na laki na ishirini nikanunia vifaranga 20 wa kienyeji wa miezi 2 kwa 100000.
Nilipamba nao sana hasa kwenye chakula,nilikuwa nazurura mashamban kuokota mahindi,mbogamboga,nyanya na chochote kinacholiwa na kuku,sometimes nilikuwa nawapa chakula nachokula mimi yaan nasonga ugali mkubwa nawapa maisha yanaenda!. Walipoanza kutaga kiukweli walitaga sana na sasa wameatamia jumla ya mayai 150 hivyo tarehe 21/8 natarajia kupata vifaranga 150 then nitawauza wakubwa wote ili kupata pesa ya kulelea vifaranga hao!
Nashauri anza na vifaranga usianze na kuku wakubwa wewe nunua vifaranga wa miezi 2 hawana changamoto sana
IMG_20180805_121736.jpg
IMG_20180507_172311.jpg
 
Aisee laki moja ni kubwa sana kama una eneo tayari. Mi nilikuwa na laki na ishirini nikanunia vifaranga 20 wa kienyeji wa miezi 2 kwa 100000.
Nilipamba nao sana hasa kwenye chakula,nilikuwa nazurura mashamban kuokota mahindi,mbogamboga,nyanya na chochote kinacholiwa na kuku,sometimes nilikuwa nawapa chakula nachokula mimi yaan nasonga ugali mkubwa nawapa maisha yanaenda!. Walipoanza kutaga kiukweli walitaga sana na sasa wameatamia jumla ya mayai 150 hivyo tarehe 21/8 natarajia kupata vifaranga 150 then nitawauza wakubwa wote ili kupata pesa ya kulelea vifaranga hao!
Nashauri anza na vifaranga usianze na kuku wakubwa wewe nunua vifaranga wa miezi 2 hawana changamoto sanaView attachment 836996View attachment 836998
Hawa kuku unafugia mkoa gani ndugu?
 
Back
Top Bottom