kwa wale wafugaji wa kuku nichekini hapa 0625923470 niwaunganishe na magroup ya wafugaji, huku utapata elimu nzuri kuhusu ufugaji, madawa, vyakula n.k
pia anayehitaji vifaranga, mayai ya kutotolesha na huduma ya incubator yaan KITOTOLESHI, huduma zote hizo zinapatiaka.
0625923470, karibuni
0714504450
 
Acha tu mkuuu mimi nina kuku na nguruwe ...mvua ili nyesha ukuta uka anguka nguruwe nikawala hifadh banda zur jiran na banda la kuku bwana eheeee...waka vunja banda lao kuvamia la kuku waka bomoa mabati na skia makelwleee vimejikusanya eneo moja nguruwe akipitisha mdomo ana toka na kuku wa tatu nilitaman kulia nikawa na jikuta na zungumza mwenyewe tu,nika bakisha kuku 80 kat kat ukiamka ukikuta kuku ameanguka swla la kawaida Mungu mwema wamebaki 80
Pole sana hizo ndio changamoto za ufugaji
 
Nimevitiwa sana mimi mwaka jana nikuwa nafuga hawa wa mitandao koroiler wanaitwa. Nilisoota sana wanamagonjwa kila kukicha, wanakula kaa wanahama, hayana habari na kutamia. Nikawauza december, nikaanza kununua pure kienyeji waswahili wanaita chep4ere wanapedwa sana kwa biashara niligundua nilipofika soko la chogo handeni nikiwa mgeni kabisa mji huu na koroiler wangu kuuza. Hapa wachuuzi toka dar ni makumi wengi mno. Nilipata wakati mgumu kwani wengi waliwaita wa kisasa na kusema nyama yao sii nzuri ka ya kienyeji. Wenye vichepere waliuza vyote hadi alipoingia mkenge tajiri mmoja wa sheli akinuwia kufuga akanunua kwa jumla bei sawa na pungufu kidogo kwa kienyeji.

Niliporudi kazi ilikuwa kutafuta chepere hadi february nilikuwa na mitetea 80 mwezi wa sita wakaanza kutaga, wasaba mwishoni nikaanza kuwaatamisha hadi niandikapo nina vifaranga wa umri tofauti 412. Nimejifunza kuku wa kienyeji ni encubator tosha, ni ngumu kuugua, garama za chakula ni ndogo sana na soko ni kubwa lao mno. Fuga kienyeji hata ukikosa hela ya chakula hujiokotea wenyewe wakisubiri upata haya mengine utaumia.
Asnt mkuu
 
Nina kuku kuroiler wapo 60, wakubwa kwa wadogo, mitetea ndio mingi majogoo machache, wote nauza lak6 tuu. . Anaehitaj anichek nipo kgamboni
 
Habari wapendwa.... Naomba nisaidiwe juu ya mbegu za azolla faida zake hasa kwa kuku na kama mnafahamu zinavyolimwa.
 
Acha tu mkuuu mimi nina kuku na nguruwe ...mvua ili nyesha ukuta uka anguka nguruwe nikawala hifadh banda zur jiran na banda la kuku bwana eheeee...waka vunja banda lao kuvamia la kuku waka bomoa mabati na skia makelwleee vimejikusanya eneo moja nguruwe akipitisha mdomo ana toka na kuku wa tatu nilitaman kulia nikawa na jikuta na zungumza mwenyewe tu,nika bakisha kuku 80 kat kat ukiamka ukikuta kuku ameanguka swla la kawaida Mungu mwema wamebaki 80
Kuna umuhimu wa kujenga mabanda imara
 
New mzalendo Nitafute nikupe ushauri mambo ni mengi pia mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji soko lipo kubwa sana unatakiwa tu kujua undani wake. But it seems you are not serious hako kajogoo kamoja utafika nako weapi au unaogopa risk? nipigie 0755394701 tuongee mkuu

ili nianze biashara ya kuku wa kienyeji ,how much could i start with?
 
Hutakosa wateja tena ukitegemea ni kuku wa kienyeji,,,mie nnafanya biashara iyo ila sio Dar.

Nilianza kutafuta wafanyabiashara asa masokoni ili nipate angalizo na soko la jumla au rejareja,pia mahotelini unaweza pitia nk nk...unajua biashara hii kweli ujue tu kujieleza na ukidhi haja ya wateja kwa uzuri,me ilinsaidia hasa ya masokoni na mnaingia mkataba kabisa.

Pia ukiwa na plani ya biashara (sijui niitaje business plan/profile??) ambayo umeiandika unaweza onyesha wateja asa big customers nk haaa si haba...

Keep it up ndugu
Akili kubwa
 
Nakushauri ufuge wa kisasa - Layers. wa kienyeji it takes time na faida si kubwa vile unavyodhani - nitafute nikupe ushauri wa bure - meanwhile angalia kazi hii hapa

attachment.php


Hawa wako 900, wanatoa Tray 24 kila siku kila Tray 5000- Chakula chao ni kilo 125 approx Tshs 55,000/-

Mtaji wa kuanzia unahitaji kuwa na not less than 6m before you start production. Kama unataka mchakato mzima sema nitakutumia database yangu.
Elnino mzima kaka? sijakuona long hapa mtandaoni.
 
Back
Top Bottom