,
Screenshot_2019-02-06-19-00-44.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yangu aliambiwa singida kuku bei rahisi na dar bar zinatoa pesa nzuri...akajichukulia mkopo ka milioni 3 akaleta kuku wa kutosha....kabla akawa ashapanga bar zote za mjini kuanzia la chaaz 40-40 hadi micasa...***** mbaya zaidi meneja jikp lachaaz akamwambia nachukua woote chinja kabisa...mi mwenyewe ofisa mzima nkamsaidia...siku ya siku tunafika la chaaz meneja anwaangalia kuku anakwambia dah vikuku vidogo labda nkupe nusu.....nakumbuka ilibidi tuuziane kisela angalau kufidia alichopoteza,....nlichojifunza katika maisha usifanye chochote kwa stori za mtandao au kusimuliwa kijiweni...ingiza miguu pima maji ndo utaujua mchezo....

READERS ARE LEADERS
cc
VITABU
 
😂😂😂inaumiza sana sana...
 
Back
Top Bottom