Unapatikana wapi Mkuu
Arushaaaaaa NGARAMTONI
tapatalk_1536121160875.jpeg
 
Pamoja na chanzo za kisasa, kila siku kuku wa kienyeji wapewe maji yenye vitamini na aloe vera. Aloe vera ilowekwe si chini ya saa 12 ndiyo kuku wapewe. Ni kinga pia tiba kwa magonjwa mbalimbali, kadhalika vifaranga hukua kwa afya nzuri.
 
Ok.
New mzalendo Nitafute nikupe ushauri mambo ni mengi pia mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji soko lipo kubwa sana unatakiwa tu kujua undani wake. But it seems you are not serious hako kajogoo kamoja utafika nako weapi au unaogopa risk? nipigie 0755394701 tuongee mkuu
Ok.
 
Hata Mimi nilianza na Laki moja tu kama wewe lakini huwez amini kwa sasa Nina kuku wa kutosha na bado nishakula faida ya kutosha cha kufanya Fanya hivi kama una banda tayari nunua kuku 10 kisha wakitaga kusanya mayai uweze kukuzia kipato au kama hauna banda tumia elfu 40 kutengeneza banda afu nunua kuku 6 au 8 kwa iyo elf 60 ilobakia kisha wakitaga vya kutosha wape mayai kumi kumi kuku zako utajikuta katika hao kuku 8 washaaongezeka kufikia kuku 80 na ukiwapa tena mayai hata tano tano utajikuta kwa hao kuku 80 washafika 400 je ukianza ata kuwauza nusu yao kwa elf nane nane si tayari una 1,600,000 maamuzi yako tu ndugu kama vipi nicheki wasap
+255769010712
+255655010712
Lucas Kitashu

Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama za uendeshaji vp#
 
Mzalendo unachekesha eh! Hivi ulishawahi kufuga tena ? Maana watu hawaanzagi hivyo!!!!!!!! Siku zote watu wanaanza na Majike! maana utaazima mbegu hata kwa jirani lakini wewe umeanza na jogoo! Anyway Mwanzo mgumu sasa wewe fuga soko no kubwa sana tu. Kwa kuanzia unapeleka tu madukani watanunua. maana hayo mayai ya kienyeji yanatafutwa sana!
HHAHAHAHA
 
Back
Top Bottom