Waache waendelee kutaga mpaka kuku mmoja atakapoanza kulalia ndio itakua rahisi kuwatenganishaHabari zenu wadau. Kutoka na vyuma kukazaa ile mbaya MTU mzima niliamua kuwekeza kwenye ufugaji wa kuku nimekutana na changamoto mbali mbali ,ila hii niliyokutana siku za karibuni ndo amenifanya kuomba msaada kwa wazoefu humu ndani JF. Kuku wawili wanataga mayai sehemu moja na yamechanganyika idadi yapo matano je? Nini nifanye ili kila kuku aendelee kutaga eneo lake bila kuathiri utagaji wao .tusaidiane tafadhari kuuliza si ujinga.
Unauzaje mayai na unapatikana wapi MkuuAnaehitaji Mayai ya KUKU kuroiler Aje pm
Mkuu habari, unapatikana wapi na contact zako vipi. Nataka kuanza ufugaji nina banda, eneo la kutosha kabisa, na mtaji ninao....nataka kuanza katika starter stage ili kupata uzoefu na ujuzi kuelekea ufugaji wa kibiashara mkubwa. Please naomba tuwasilianao mkuu.Unauzaje mayai na unapatikana wapi Mkuu
Nipo Moshi mkuuMkuu habari, unapatikana wapi na contact zako vipi. Nataka kuanza ufugaji nina banda, eneo la kutosha kabisa, na mtaji ninao....nataka kuanza katika starter stage ili kupata uzoefu na ujuzi kuelekea ufugaji wa kibiashara mkubwa. Please naomba tuwasilianao mkuu.
Tutatafutana mkuu habari njema hii.Tunatotoresha vifaranga kwa bei ya 8000 kwa tray; kifaranga 1500. Tunapatikana kibada kigamboni kwa 0682 231053 tuwasiliane tubadikishane uzoefu.
Picha hizoWanauzwa kuku kuroiler na chotara wa kienyeji na kuroiler wapo bunju dsm wana miezi 9. Wapo 60 (mitetea 40 majogoo 20) na wanauzwa wote pamoja kwa bei ya jumla. Njoo pm tuongee.
hahahah dogo kapata ajiraNunua matetea wanne na jogoo mmoja. Jenga banda dogo hapo nyumbani na uwaweke, mcheki dogo asiyekuwa na kazi hapo nyumbani. Mwachie awe anawaangalia afu we tafuta kazi nyingine ufanye......
Hawa kuku unafugia mkoa gani ndugu?Aisee laki moja ni kubwa sana kama una eneo tayari. Mi nilikuwa na laki na ishirini nikanunia vifaranga 20 wa kienyeji wa miezi 2 kwa 100000.
Nilipamba nao sana hasa kwenye chakula,nilikuwa nazurura mashamban kuokota mahindi,mbogamboga,nyanya na chochote kinacholiwa na kuku,sometimes nilikuwa nawapa chakula nachokula mimi yaan nasonga ugali mkubwa nawapa maisha yanaenda!. Walipoanza kutaga kiukweli walitaga sana na sasa wameatamia jumla ya mayai 150 hivyo tarehe 21/8 natarajia kupata vifaranga 150 then nitawauza wakubwa wote ili kupata pesa ya kulelea vifaranga hao!
Nashauri anza na vifaranga usianze na kuku wakubwa wewe nunua vifaranga wa miezi 2 hawana changamoto sanaView attachment 836996View attachment 836998