katika ufugajii wa kuku wa kienjeji na kiasi gani cha mtaji unachotakiwa kuanza nacho??

Mkuu Hilo linategemea na Maandaliz ulonayo Kwa Mfano Eneo la kutosha Mabanda Nk
Ima kama huna Basi wastan wa M 5 na kuendelea unafaa kama aunahitaji Mavuno ya Haraka
Ima kama Unahitaji iwe ni Ya Kimaskini kama Sisi Unaweza anza Na Mtaji wa tsh Laki 5 na kuendelea na Ukaanza na Kuku hata Wawili
Ukaja Mwendo wa kinyonga na Baada ya Myezi Kadhaa ukawa na mwendo wa Swala Kisha Farasi mwisho Duma

Karibu Mkuu Tufuge
 
Hebu nipe mchanganuo wa hiyo milion 5 km nina eneom
 
Wakuu humu, heshima mbele. Nimefuga kuku kama 100 hivi wa kienyeji, na nawalisha pumba za mahindi mchanganyiko na mashudu, dagaa na madini. Wanaenda vizuri, ila shida ni kwenye utagaji, wanataga wachache na sio kila siku, anaweza kutaga leo, akaruka siku tatu ndio anataga tena. Nilikua naomba msaada humu, kwa wazoefu, namna ya kumfanya kuku wa kienyeji kutaga kwa mfululizo. Kuna majogoo 10 within.
Ahsante sana.
pole sana mkuu
wachanganyie pia layers primix au DCP,
 
Sio kweli, kuku wa kienyeji anaweza kutaga hadi mayai 70 mfululizo japo anaweza kurusha siku moja. Mimi huwapa layers mash kidogo nachanganya na pumba
Mkuu hao kuku ni pure kienyeji au mana 70???!!! sijawahi kuona mwisho nmeona 30 na kutamia, tena hawa kuku kuwapata skuiz ni mbinde sana, uchagani wanawaita "Kamanda"Ila 18-20 kawaida kwa kuku wengi.
 
1. WAACHE WATAGE MPAKA MWISHO

2. KILA WAKITAGA HAMISHA MAYAI

3. WAKIANZA KUONJESHA DALILI ZA KUATAMIA WALOWESHE KWENYE MAJI BARIRI

4. RUDIA HILO ZOEZI PALE UNAPOONA DALILI ZINAENDELEA

5. ATAKATA TAMAA NA MAJOGOO WATAMMENDEA TENA NA BAADA YA MUDA ATAANZA KUTAGA TENA

6. HII NI MBINU YA KIASILI KABISA NIMEIJARIBU NA INAFANYA KAZI 100%
 
Safi sana, na mm naitumia lakini kuna mitetea mibishi kweli kweli,
 
Changanya pumba au chakula unachowapa na (layers) hicho ni chakula wanachopewa kuku wa mayai hakikisha layers na pumba zinakuwa na uwiano sawa laa sivo ukizidisha layers watataga sana bila kuatamia
Samahani mkuu!! Sasa layers so huwa zinazidushwa sana kwa kkuku Wa kisasa wale Wa mayai! Madhara ya layers kwa mwanadamu ni nini? Shukrani kama nitapata majibu, yakikosekana pia yote heri
 
Huwa unafanyaje mkuu mpaka wanatotoa kwa kiwango hicho?
Plz naomba unisaidie
Mkuu zaidi ya kuwaandalia sehem nzuri ya kutaga sina ninachokifanya wanatotoa wenyewe vizur tu, cha kuzingatia ni kuchagua mayai mazuri yasiyo na clerks, na kuku hawapend stress usiingie sehem wanazolalia mayai bila sababu za msingi. Kwa uzoefu wangu kuku wenye maumbo madogo ndo wanatotoa mayai mengi. Nimefanikiwa kupata vifaranga mia na nane kwa kuku kumi ambao niliwawekea mayai 14 kila mmoja.
 
Watetea wengine watakuwa wana sura na maumbo mabaya hivyo majogoo wanawapotezea na kufuata wenue sura na mvuto!
so., unashauriwa kununua kuku warembo wenye misambwada ya ukweli ili majogoo yasiwaache bila kupiga show
 
Back
Top Bottom