Wana JF !
Naombeni mnisaidie namna ninavyoweza kupata soko la Mayai ya Kienyeji, nakusanya Tray 1.5 kila siku.Changamoto yangu kubwa ni Soko la Mayai,kiukweli kichwa kimepata Moto,hesabu zangu zote za faida zilitegemea Mayai,mayai nimepata ila wateja n wachache.
Moyoni mwangu nawapenda kuku wa kienyeji,ila changamoto hii inanikatisha tamaa.Kama ntakosa ufumbuzi wa hili nipo tayari kuwauza woote na nianze kufuga kuku wa Kisasa wa mayai.

Nicheki privacy nione nakupaje kampani
 
Upo mkoa gani?
 
Naomba msaada wa kuku aina ya kuroiler kama 100 ntapata wapi? Kuna Uzi unafunguliwa ukiulizwa hupati jibu. Msaada kwa anaejua
 
Wana JF !
Naombeni mnisaidie namna ninavyoweza kupata soko la Mayai ya Kienyeji, nakusanya Tray 1.5 kila siku.Changamoto yangu kubwa ni Soko la Mayai,kiukweli kichwa kimepata Moto,hesabu zangu zote za faida zilitegemea Mayai,mayai nimepata ila wateja n wachache.
Moyoni mwangu nawapenda kuku wa kienyeji,ila changamoto hii inanikatisha tamaa.Kama ntakosa ufumbuzi wa hili nipo tayari kuwauza woote na nianze kufuga kuku wa Kisasa wa mayai.

Soko lipo we uko wapi kwa dar 0787999851
 
Wana Jf,

Kuna maandiko mengi JF ya ufugaji Kuku wa Kienyeji! Nawasilisha kwenu wadau wa JF mbinu ambazo kwa mikono yangu nimezitumia kutatua changamoto za kuku wa kienyeji! Nimeandika kuwalenga wajasiliamali ambao hawana nguvu kifedha kujenga mabanda kisasa, mashine kutotolesha vifaranga, kutibu magonjwa wala kujenga wigo (fence) n,k. Naomba mzijue mbinu hizi nisije kufa nazo, huu ni mchango wangu kwenu watanzania wenzangu wale ambao mtakuwa hamjawahi kuzisikia mbinu hizi. Mbinu hizi baadhi nilisoma vitabuni nikazijaribu na kuziboresha kwa mazingira yangu duni! Mbinu zingine niliziona kwa wakulima duni kama mimi nikazitumia na kuleta mafanikio makubwa, mbinu zingine nilizigundua mwenyewe na nikafanikiwa sana. Hizi mbinu hazijafanyiwa utafiti rasmi lakini nimeweza kufanikiwa kuwa na kundi kubwa la kuku kwa haraka sana kupitia ujanja huu!!

Mdau wa JF nakualika utembelee uzi huu mara kwa mara kila upatapo fursa ili uweze kufuatilia simulizi yangu maana itakwenda kwa vipande vipande. Mnakaribishwa kuchangia uzoefu wenu ili tuboreke zaidi.

Mbinu hizi zitagusia zaidi: Utotoreshaji vifaranga vingi kwa mara moja bila kutumia mashine! Ukuzaji wa vifaranga vingi kwa njia rahisi na kwa haraka zaidi, ulinzi wa kuku dhidi ya wanyama maadui, kudhibiti kuku wasizurule, magonjwa niliyofanikiwa kuyadhibiti, ujenzi wa vibanda wenye kukidhi mahitaji mbali mbali. Ni utaalamu nilioupata kwa gharama kubwa na mahangaiko ya muda mrefu, nauleta kwenu ili sote tuendelee kukua pamoja kiujasilia mali.

Stay tuned and keep on visiting this thread!!

===============
UPDATE
===============

Asante sana. Mtalaam, swali langu hivi kama kuku alitotolewa kwa mashine ni kweli huwa haatamii mayai akitaga? nina kuku ambao walitotoleshwa kwa mashine wamekuwa wakitaga ila hawalalii mayai yao.
 
Wadau naomba msaada wa utaalam wa kufuga kuku wa kienyeji ambao unachukua eneo dogo yaani chumba kidogo kimoja lakini niweze kufuga kuku wengi.

Vilevile masuala ya madawa na namna ya kuwatunza vizuri ili wawe kuku bora wa nyama na mayai, maana hapa Dodoma biashara ya kuku wa kienyeji na mayai inashamiri siku hadi siku.

Naomba msaada wa mwenye uelewa wa masuala haya ya ufugaji kuku wa kienyeji.

Mzee wa Chilonwa, kwa sasa nipo Chamwino.
 
Back
Top Bottom