Biashara ya Uber, Bolt

Abdul kalaam

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
434
543
Habari wanajukwaa

Mimi ni muajiriwa sehemu fulani, kutokana na changamoto za kazi nilitamani nijiajiri mwenyewe kupitia biashara ya udereva wa mtandao.

Naombeni ushauri wenu juu ya hii biashara kama inalipa kwa kiasi gani na changamoto za biashara kiujumla.

Asanteni
 
Bora umeanzisha huu uzi na mimi nipate la kujifunza, bila shaka watakuja wenye uelewa wa hii biashara tuweze kujifunza mengi.
 
Mkataba hutegemea aina ya gari, na ubora wake ambapo ndio kigezo kitakachotumika ktk muda wa ukomo wa mkataba huo.

Mfano IST mpya hesabu ya mkataba ni 170k hadi 180 kwa wiki hudumu kwa miaka miwiki na nusu.

Passo- mpya hesabu huweza kuwa 160- 170k kila wiki kwa miaka miwili.

Na hesabu ya kawaida isiyohusisha mkataba wa makabidhiano ya moja kwa moja huweza kuwa 130k hadi 140k kwa wiki. ( hutegemea na hali ya gari)

Note: ikumbukwe ktk hesabu ya kawaida service ni juu ya mmiliki wa chombo

Ila mkataba service inamhusu dereva.

KUHUSU KUJIUNGA.
hakikisha gari lako limekidhi vigezo vya kibiashara.

1. Kadi ya gari ( commercial)
2. Kadi ya latra.
3. Bima ( inssuarance)
4. Leseni ya dereva (psv) Madaraja c1, c2, c3 had C.
5. Hati ya tabia njema( hupatikana polisi wizara ya mambo ya ndani hadi kuipata huchukua siku 14.)

Note: Hakikisha gari lako lina CC angalau 1400 kushuka chini ili liendane sawa na nauli wanazopanga hasa baada ya kilio cha kushushwa kwa nauli na kupanda kwa bei ya mafuta. Liendane na uchumi.

MAPATO.
kazi kubwa ya wamiliki wa hizi App ni kukutanisha dereva na abiria tu wao hawamiliki magari hivyo kwa kazi hiyo wameweka % kadhaa km 25 hiv kushuka chini kutegemea aina ya wamiliki wa hizo App. Hivyo itakulazimu kuwalipa asilimia hizo kila trip na wengine wamejiwekea utaraibu kuwa jumuisho la madeni yao ni hadi kufikia kiasi cha shilingi elfu 20 wtakutumia ujumbe kuwa lipa deni lako uendelee na kubeba abiria bila kulipa huwezi kupata maombi ya safari.
 
asante sana nimekuelewa vizuri mno.
kuendesha mwenyewe na kumpa mtu mkataba ipi bora?
 
1.Short term plan.
2. Long term plan.

Kipato kupitia mkataba ni kizuri endapo una malengo ya muda mrefu kwamba kitu gani utahitaji kufanya baada ya miaka miwili kwa pesa utakayoipata hapo huapngiwi maamuzi huenda pia utakayokusanya ndani ya mwaka.

Note: kama huna kazi nyingine ya kufanya nje ya gari lako usikubali kutoa mkataba maana pesa utakayopewa utajikuta unaitumia hadi muda unaisha pesa mfukoni huna na gari linatoweka kwenye umiliki wako Mkataba ni mzuri sana endapo una harakati nyingine na ni ulinzi wa biashara yako.

2. Kuendesha mwenyewe unahiitaji uthubutu wa hali ya juu hasa ukiwa mgeni na hizi biashara huko barabarani unaweza ukajiuliza hawa watu wanapataje pesa ila yote ya yote ukijitoa mhanga kwa kujipa muda hadi kuizoea hiyo biashara unaweza ukafanikiwa cha msingi nikujithatiti na kuweka kipaumbele cha malengo uliyojiwekea kupitia muda uliopanga.

Hizi kazi zina kasumba yake ukiwa mmiliki wa gari haswa ile uliyoipata kupitia mkataba unaweza kujiuliza mwanzo uliwezaje kupambana hadi kufanikisha kuisha kwa muda wa mkataba hadi kumiliki gari ambalo pesa unayoingiza ni tofauti ya awali hapo ni issue ya kujitoa.

Nipigie 0789702863.
 
Asalaam aleykum!

Nimekuwa na mwendelezo wa kukupa mchanaganuo wa biashara ya online taxi hata kabla hukuingia ktk biashara hiyo.
Hatimae sasa nakukupa mchanganuo kuhusu kipato.

Mwaka una week 52.177457
Hesabu ya mkataba week 170k hadi 180k.
service juu dereva.

Hivyo kwa mwaka unakusanya kiasi cha shilingi mil 9391942.26. Kwa miaka miwili ni mil 18, 783, 884.52

Endapo una shughuli nyingine na hii pesa ukaifanya kama mbegu kwa kuizalisha kwa kila kiasi kinapoingia atleast range ya kila mil 2 ktk biashara nyingine hakika ndani ya mwaka utakiwa pazuri zaidi nje ya hiyo miaka miwili.

Ukiendesha mwenyewe mpaka upate kukiona kipato maana yake lazima ujipe muda na ujitoe kweli na kukubaliana na upepo wa hizi kazi kuna muda unaweza ukajiuliza mengi sana kuhusu hizi kazi ukiwa barabarani.

Sina lengo la kukutisha ni hali halisi chakukushauri tu usitegemee mgawanyo wa malengo ya baadae na kulisha familia kupitia online taxi yaani hizi kazi lazima ushike kimoja hapo kama unalea familia simamia humo japo nafahamu utaweka malengo ya baadae kwa kiasi kidogo sana pamoja na service.

USIACHE KAZI ONGEZA WIGO WA BIASHARA NDIPO UFANYE UTHUBUTU WA KUACHA KAZI kununua gari ya kazi ndio mwanzo wa kuatanua wigo wa biashara zako ingependeza utoe mkabata utachozalisha utakuwa umejitanua zaidi na biashara nyingine ndipo uje barabarani mwenyewe hapo baadae ikiwa hili la awali umelitoa mkataba. Hivyo kwangu mimi kutoa mkataba kwa dereva mmiliki ukiwa na kazi nyingine ni bora zaidi.

Kuliko hesabu ya kawaida adha ya usumbufu wa madereva, service nk utayumbisha malengo yako.

Ukihitaji dereva usisite 0789702863.Ahsante.
 
K
Asalaam aleykum!
Nimekuwa na mwendelezo wa kukupa mchanaganuo wa biashara ya online taxi hata kabla hukuingia ktk biashara hiyo.
Hatimae sasa nakukupa mchanganuo kuhusu kipato.

Mwaka una week 52.177457
Hesabu ya mkataba week 170k hadi 180k.
service juu dereva.

Hivyo kwa mwaka unakusanya kiasi cha shilingi mil 9391942.26. Kwa miaka miwili ni mil 18, 783, 884.52

Endapo una shughuli nyingine na hii pesa ukaifanya kama mbegu kwa kuizalisha kwa kila kiasi kinapoingia atleast range ya kila mil 2 ktk biashara nyingine hakika ndani ya mwaka utakiwa pazuri zaidi nje ya hiyo miaka miwili.

Ukiendesha mwenyewe mpaka upate kukiona kipato maana yake lazima ujipe muda na ujitoe kweli na kukubaliana na upepo wa hizi kazi kuna muda unaweza ukajiuliza mengi sana kuhusu hizi kazi ukiwa barabarani.
Sina lengo la kukutisha ni hali halisi chakukushauri tu usitegemee mgawanyo wa malengo ya baadae na kulisha familia kupitia online taxi yaani hizi kazi lazima ushike kimoja hapo kama unalea familia simamia humo japo nafahamu utaweka malengo ya baadae kwa kiasi kidogo sana pamoja na service.USIACHE KAZI ONGEZA WIGO WA BIASHARA NDIPO UFANYE UTHUBUTU WA KUACHA KAZI kununua gari ya kazi ndio mwanzo wa kuatanua wigo wa biashara zako ingependeza utoe mkabata utachozalisha utakuwa umejitanua zaidi na biashara nyingine ndipo uje barabarani mwenyewe hapo baadae ikiwa hili la awali umelitoa mkataba. Hivyo kwangu mimi kutoa mkataba kwa dereva mmiliki ukiwa na kazi nyingine ni bora zaidi.

Kwa hesabu zako unaona mmiliki wa gari anapata faida yoyote ya maana kwa muda huo wa miaka miwili?
 
Kibadilishe kipato kiwe mbegu faida utaiona mala dufu utavuna zaid ya namba za hesabu unazoziona ila km utakuwa unaletewa hesabu hadi miezi 6 na pesa unaiangalia tu huifanyii lolote la kuizalisha unasubiri hiyo miaka miwili nalo ni tatizo kwa mmiliki wa gari japo faida itaonekana ila ulipaswa faida hiyo uizalishe hata kabla ya jumuisho la miaka miwili la ukomo wa mkataba.

Umenikumbusha mbal sana kuna rafk yng alitoa pikipiki mkataba wa mwaka na miez miwili pesa akawa analetewa kila siku elfu 10 akawa anakula tu mwaka umeisha anaumia pikipiki haitakuwa tena yake na pesa hana
 
Daah.. hii biashara ni kama unaweka pesa yako sehemu nakujilipa kidogo kidogo hasa pale unapoamua lununua gari na kumkabidhi mtu!!
 
Hapo kwenye leseni naomba urudie inamaana hadi c kavu, au hata c1, c2,c3 itafaa?
Mkataba hutegemea aina ya gari, na ubora wake ambapo ndio kigezo kitakachotumika ktk muda wa ukomo wa mkataba huo.

Mfano IST mpya hesabu ya mkataba ni 170k hadi 180 kwa wiki hudumu kwa miaka miwiki na nusu.

Passo- mpya hesabu huweza kuwa 160- 170k kila wiki kwa miaka miwili.

Na hesabu ya kawaida isiyohusisha mkataba wa makabidhiano ya moja kwa moja huweza kuwa 130k hadi 140k kwa wiki. ( hutegemea na hali ya gari)

Note: ikumbukwe ktk hesabu ya kawaida service ni juu ya mmiliki wa chombo

Ila mkataba service inamhusu dereva.

KUHUSU KUJIUNGA.
hakikisha gari lako limekidhi vigezo vya kibiashara.

1. Kadi ya gari ( commercial)
2. Kadi ya latra.
3. Bima ( inssuarance)
4. Leseni ya dereva (psv) Madaraja c1, c2, c3 had C.
5. Hati ya tabia njema( hupatikana polisi wizara ya mambo ya ndani hadi kuipata huchukua siku 14.)

Note: Hakikisha gari lako lina CC angalau 1400 kushuka chini ili liendane sawa na nauli wanazopanga hasa baada ya kilio cha kushushwa kwa nauli na kupanda kwa bei ya mafuta. Liendane na uchumi.

MAPATO.
kazi kubwa ya wamiliki wa hizi App ni kukutanisha dereva na abiria tu wao hawamiliki magari hivyo kwa kazi hiyo wameweka % kadhaa km 25 hiv kushuka chini kutegemea aina ya wamiliki wa hizo App. Hivyo itakulazimu kuwalipa asilimia hizo kila trip na wengine wamejiwekea utaraibu kuwa jumuisho la madeni yao ni hadi kufikia kiasi cha shilingi elfu 20 wtakutumia ujumbe kuwa lipa deni lako uendelee na kubeba abiria bila kulipa huwezi kupata maombi ya safari.
 
Ni vema ukiwa dereva ujue madaraja ya leseni yako kutokana na level yako ya elimu. C1, c2, C3 na , C plain haya ni madaraja ya kuruhusiwa kuendesha gari ya ubebaji wa abiria (psv) . Hivyo hayo ndio madaraja yanayohitajika ili ufanikishe kupata account ya bolt na uber.
 
Drydon nimekuelewa vizuri sana, na ninapo uliza swali sio kama nina majibu yangu lah! Ni kutaka kufahamishwa mimi na wanajamii.

Kufuatia Sheria ya Usalama barabarani Kifungu cha 77, mstari ( i ) hadi ( x ) umefafafanua kila daraja la leseni na chombo cha moto anachostahili kuendesha.

Sipingani na wewe uliposema dereva wa Uber anatakiwa awe na leseni daraja C plan, hiyo ndio sijui umetolea wapi, Sheria inatamka C 3, inamruhusu kuendesha Taxi ( abiria 4 ) C 2, inamruhusu kuendesha basi dogo lisilozidi ( abiria 14 ) C 1, inamruhusu kuendesha basi lisilozidi ( abiria 35 ) na C, inamruhusu kuendesha basi la abiria kuanzia 30 kuendelea.

Hapana sikusema Dereva awe na C plain nimemaanisha majumuisho la madaraja C yote ambayo yanahusika na ubebaji wa abiria.

Hawa online taxi mwanzo walikuwa wanasajili hata kwa daraja D ila hivyo ni vigezo vipya wenye madaraja D walifungiwa account ili kupata madereva wazoefu zaidi ndio wakaleta hiyo system mpya ya C
 
Mkataba hutegemea aina ya gari, na ubora wake ambapo ndio kigezo kitakachotumika ktk muda wa ukomo wa mkataba huo.

Mfano IST mpya hesabu ya mkataba ni 170k hadi 180 kwa wiki hudumu kwa miaka miwiki na nusu.

Passo- mpya hesabu huweza kuwa 160- 170k kila wiki kwa miaka miwili.

Na hesabu ya kawaida isiyohusisha mkataba wa makabidhiano ya moja kwa moja huweza kuwa 130k hadi 140k kwa wiki. ( hutegemea na hali ya gari)

Note: ikumbukwe ktk hesabu ya kawaida service ni juu ya mmiliki wa chombo

Ila mkataba service inamhusu dereva.

KUHUSU KUJIUNGA.
hakikisha gari lako limekidhi vigezo vya kibiashara.

1. Kadi ya gari ( commercial)
2. Kadi ya latra.
3. Bima ( inssuarance)
4. Leseni ya dereva (psv) Madaraja c1, c2, c3 had C.
5. Hati ya tabia njema( hupatikana polisi wizara ya mambo ya ndani hadi kuipata huchukua siku 14.)

Note: Hakikisha gari lako lina CC angalau 1400 kushuka chini ili liendane sawa na nauli wanazopanga hasa baada ya kilio cha kushushwa kwa nauli na kupanda kwa bei ya mafuta. Liendane na uchumi.

MAPATO.
kazi kubwa ya wamiliki wa hizi App ni kukutanisha dereva na abiria tu wao hawamiliki magari hivyo kwa kazi hiyo wameweka % kadhaa km 25 hiv kushuka chini kutegemea aina ya wamiliki wa hizo App. Hivyo itakulazimu kuwalipa asilimia hizo kila trip na wengine wamejiwekea utaraibu kuwa jumuisho la madeni yao ni hadi kufikia kiasi cha shilingi elfu 20 wtakutumia ujumbe kuwa lipa deni lako uendelee na kubeba abiria bila kulipa huwezi kupata maombi ya safari.
Mkuu vipi kuhusu new model spacio cc 1500 itafaa kwenye fuel consumption na nauli iliyopangwa kwa route moja mfano 10km

Unaweza kujiunga kwa na apps zote za tax online mfano uwe na uber bolt taxfy kwenye gari moja

Dereva ni mgeni kwenye hii biashara ya tax mtandaoni, jaribu kutoa mbinu za kuingia kazini hadi kuwa mzoefu.
 
Asalaam aleykum!
Nimekuwa na mwendelezo wa kukupa mchanaganuo wa biashara ya online taxi hata kabla hukuingia ktk biashara hiyo.
Hatimae sasa nakukupa mchanganuo kuhusu kipato.

Mwaka una week 52.177457
Hesabu ya mkataba week 170k hadi 180k.
service juu dereva.

Hivyo kwa mwaka unakusanya kiasi cha shilingi mil 9391942.26. Kwa miaka miwili ni mil 18, 783, 884.52

Endapo una shughuli nyingine na hii pesa ukaifanya kama mbegu kwa kuizalisha kwa kila kiasi kinapoingia atleast range ya kila mil 2 ktk biashara nyingine hakika ndani ya mwaka utakiwa pazuri zaidi nje ya hiyo miaka miwili.

Ukiendesha mwenyewe mpaka upate kukiona kipato maana yake lazima ujipe muda na ujitoe kweli na kukubaliana na upepo wa hizi kazi kuna muda unaweza ukajiuliza mengi sana kuhusu hizi kazi ukiwa barabarani.
Sina lengo la kukutisha ni hali halisi chakukushauri tu usitegemee mgawanyo wa malengo ya baadae na kulisha familia kupitia online taxi yaani hizi kazi lazima ushike kimoja hapo kama unalea familia simamia humo japo nafahamu utaweka malengo ya baadae kwa kiasi kidogo sana pamoja na service.USIACHE KAZI ONGEZA WIGO WA BIASHARA NDIPO UFANYE UTHUBUTU WA KUACHA KAZI kununua gari ya kazi ndio mwanzo wa kuatanua wigo wa biashara zako ingependeza utoe mkabata utachozalisha utakuwa umejitanua zaidi na biashara nyingine ndipo uje barabarani mwenyewe hapo baadae ikiwa hili la awali umelitoa mkataba. Hivyo kwangu mimi kutoa mkataba kwa dereva mmiliki ukiwa na kazi nyingine ni bora zaidi.
Kuliko hesabu ya kawaida adha ya usumbufu wa madereva, service nk utayumbisha malengo yako.

Ukihitaji dereva usisite 0789702863.Ahsante.

Kwaio hesbu yako ni kama vile mmiliki ameweka tu gari lake sehem au amemkopesha mtu na anamlipa kidogo kidogo bila riba kwa hiyo hesabu hakuna faida ambayo mmiliki anapata ni kama amemkopesha tu dereva hilo gari hesabu inayakiwa kwa mwaka tu iwe imerudi faida na pesa ya gari mkataba walau uwe mwaka mmoja
 
Back
Top Bottom