Biashara ya Travel Agent imekaaje?

Bosco Ntaganda

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
710
288
Wadau wa hii biashara ya kua Travel Agent, naombeni msaada wenu wa mawazo!
Faida zake zimekaaje? Nini changamoto zake? Soko lake limekaaje kwa sasa?
Gharama za kuanzisha biashara hii ziko vipi?
Natanguliza shukrani
 
The days of travel agents are numbered. Muda sio mrefu hakuna mtu ataenda kufanya booking ama kununua tickets kupitia kwa travel agents. Kila kitu kitafanyika online. Sikumbuki last time nilienda kwa travel agent kwa safari zangu za ndani na nje ya nchi. naamini muda sio mrefu itakuwa hivyo kwa watu wengi
 
Mwanangu Bosco Ntaganda acha uvivu. Nenda kafanye utafiti mwenyewe. Tunaweza kukupa ushauri ukaishia kuwa mauti ya vijisenti vyako. Muhimu lazima uwe connected ili kupitisha mizigo ya mibwimbwi na kukwepa kodi. Utapata kazi kweli kwa vile wengi wenye Bureau de change na Travel Agencies ni ma*********. Watakupiga vita kweli kweli vinginevyo uwe na uhusiano na vigogo mafisadi serikalini.
 
Kwahiyo nini kifanyike ndugu? Nataka kujikita katika hii biashara ya Utalii pia! Unanishauri nielekeze nguvu katika nyanja zipi pengine, ili nami nimiliki uchumi?
 
Mwanangu Bosco Ntaganda acha uvivu. Nenda kafanye utafiti mwenyewe. Tunaweza kukupa ushauri ukaishia kuwa mauti ya vijisenti vyako. Muhimu lazima uwe connected ili kupitisha mizigo ya mibwimbwi na kukwepa kodi. Utapata kazi kweli kwa vile wengi wenye Bureau de change na Travel Agencies ni ma*********. Watakupiga vita kweli kweli vinginevyo uwe na uhusiano na vigogo mafisadi serikalini.
Mzazi, kumbuka JF pia ni sehemu ya kufanyia utafiti. Usiogope bwana!
 
Wandugu hebu nipeni maoni basi, ni maeneo gani naweza kujikita huko kwenye utalii?
Kuna mdau hapa aliongelea juujuu bila kufafanua, kuhusu kuwekeza katika sekta ya Utalii, naombeni mnifungue macho jamani, tumewaachia sana watoto wa vigogo!
 
mkuu bosco unataka uifanyie wapi? na biashara hiyo inalenga zaidi watalii wa nje au wasafiri wa ndani? nitarudi
 
Popote pale ili mradi pawe jirani na mbuga za wanyama mkuu! Ama wewe unapendekeza maeneo gani ndio yapo poa zaidi?
Binafsi napendelea kujikita na Watalii wa nje mkuu!
Karibu sana kwa ushauri Kamanda.
 
Bishara ya Travel Agency..!
Ni mawakala wa Ndege zote ndani na njee ya Nchi husika. Kuan aina Mbili nazofaham za Travel agency.
1. iATA travela agency. Hawa ni Member wa IATA ambao wanaruhusa ya kutoa tkt bila hata ya kuwasiliana na AIRLINE husika. Na kila Mwisho wa siku 15 anatakiwa kufanya deposit ya pesa kwa IATA.
2. NON -AITA travel agency. Hawa wana husika sana na Booking, kisha wakishapata comfirmation ya mteja Wanaenda Nunua tkt kwa iata agency or direct airline.

FAIDA ZAO kwa WOTE ZINAPATIKANA ktk Njia mbili.
1. SERVICE FEE. Mfano ndani ya Nchi.. yaweza kua 10,000-20,000/ international 50USD.au zaid.
2.KAMISHEN.. baadhi ya Ngede wanatoa asilimia fulan kwa travel agency.

Pia faham kua. Service fee unayochukua kwa mteja. nikiwango ambacho iwapo mteja ataenda direct kwa airline. Atapewa SAWA au ZAID ya ulicho mpatia.(Hakipungui) Mfano. TKT yakwenda DAR ZNZ ni 70,000/ AIRLINE FARE. Customer akienda direct atapatiwa bei hiyohiyo LKN we Ukuenda asa travel agency utapatiwa kwa 55,000/ hadi 60,000/ kwa hiyo kunakua na service fee yako. Pia Unaofanya vizuri AIRLINE anakitu anatoa kinaitwa INCENTIVE. BONUS Mkataba wa wewe kuuza ndege yake zaid anakupatia bonus.

Pia kuna kitu kingine.
Travel agecny wote wanatumia SYSTEM za BOOKING ambazo kwa Tanzania Zipo Kampuni Mbili. Galileo(Travelport) na AMADEUS. Wao ni comppetitors. hivyo iwapo biashara yako inapokua na volume nzuri. WANAKUPATIA INCENTIVE,

LK CHangamoto.. Hakikisha unawateja wakudumu.
 
Mkuu biashara ya Utalii kwa Upande wa Wazawa ni ngumu mno, aikuambie mtu na makampuni mengi ya wazawa yanadili na wale watalii wasio kuwa na pesa ya maana, Makampuni mengi yaliyo kamata soko ni ya Wazungu wa Ulaya, America, Makaburu an wahindi.

Hizi kampuni zina ofisi huko huko majuu, na baadhi ya kampuni hata akaunt ziko huko huko na payment inafanyika huko huko, huko wageni huja kutalii tu
 
Popote pale ili mradi pawe jirani na mbuga za wanyama mkuu! Ama wewe unapendekeza maeneo gani ndio yapo poa zaidi?
Binafsi napendelea kujikita na Watalii wa nje mkuu!
Karibu sana kwa ushauri Kamanda.

Kwa bongo hiyo kampuni iwe kampuni ya utalii kwani travel agent hapa navyoelewa ni kama thomas cook google uone business zao na mimi ninavyokushaurini kama hawa kina leopard tours uwe na magari yako unawapeleka watalii kwenye destinations zao uandae package za kuwapeleka hao wazungu package zao zinafika hata usd 3000 per head ukipata wateja 1000 kwa mwezi revenue yako itakuwa hata 1,000,000 per year na kumbukq ni usd
 
binamu! kumbe kuna majihela sana huku sivyo?
 
This is very true.

Na hawa watu wa serikali wengi wanaposafiri tkt zao zinakatwa kwa agency za wahindi. nafikiri sababu wana mitaji ya kungoja mpaka hazina wanapojiskia kulipa,na bei huwa iko juu ili kucompensate muda wanaochelewa kulipwa.

Mkuu biashara ya Utalii kwa Upande wa Wazawa ni ngumu mno, aikuambie mtu na makampuni mengi ya wazawa yanadili na wale watalii wasio kuwa na pesa ya maana, Makampuni mengi yaliyo kamata soko ni ya Wazungu wa Ulaya, America, Makaburu an wahindi.

Hizi kampuni zina ofisi huko huko majuu, na baadhi ya kampuni hata akaunt ziko huko huko na payment inafanyika huko huko, huko wageni huja kutalii tu
 
Wadau, nimepata mawazo yenu wakuu, asanteni. Travelport na AMADEUS. Nilikuwa nauliza booking systems za cruise na hotel supplies pia. Ni wapi nitazipata?
 
Back
Top Bottom