Biashara ya tents (mahema)

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
571
156
Wadau, habari zenu?
Eid-Mubarak!

Naomba mwenye kujua wapi naweza kupata tents za aina hii au zinazofanana na hizi - ambazo zina good quality.
Zinauzwa wapi na zinapatikana kwa bei gani (range)?
Nataka nipeleke shambani kwa ajili ya wafanyakazi na mimi mwenyewe kupumzika na family for some days in the farm.

Thanks. TENTS.jpg TENT-2.jpg TENT-3.jpg TENT-4.jpg
 
WanaJF tunaangushana!
Naona mnapita mnachungulia na kutambaa - imekuwa kama ile story ya kwenye bible ya Msamaria mwema (yule jamaa aliyevamiwa na wanyang'anyi masela walikuwa wanampita tu kama vile hawajamwona).
Tehe, tehe, teheeeeee!

Anyway, n'shapata details (ngoja ni-share nanyi kidogo). Ni kwa wale wanaopenda kuishi maisha ya raha kwa gharama ndogo tu!!!!!!!!!!! Masharobaro hawana nafasi!View attachment Oasis Information[1].pdf
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Mimi ninazo ambazo niliagiza Marekani. Niambie kama zinakufaa tuangalie jinsi ya kukuagizia.

Tent.jpg Tent 2.jpg
 
Jaribu Tarpo.....Arusha.....wana tents zenye quality nzuri
 
Jaribu Tarpo.....Arusha.....wana tents zenye quality nzuri

Asanteni kwa michango yenu.
God bless you all.
TARPO nimewatumia barua pepe nasubiri mrejesho.

Thanks Preta na others toooooooooooooooooooo!
 
Nina jamaa yangu mmoja,kampuni yao ina matent ya Wageni, anaweza kukusaidia ukajua yy/wao wanapataje. Bosi wake ni kijana mzuri anaweza kukupa unafuu zaidi ktk kupata taarifa unazotaka. Na mimi pia kuna wakati niliyatumia. Yupo Dar, Mtwangie 0784726068, akikuuliza, mwambie Malila kanielekeza.
 
Asante sana, wabheja sana!
Ngoja nimtwangie simu sasa hivi!
 
Back
Top Bottom