Biashara ya simu toka nairobi

RORYAKWETU

Member
Nov 18, 2011
83
13
Heri ya Mwaka mpya JF. Nipo Mwanza. Naomba mwenye uzoefu na biashara ya simu toka Nairobi. Nataka kufanya biashara hii sina mtaji mkubwa ila nataka kuanzia hicho nilichonacho. Ikiwezekana nijue ni Nairobi sehemu gani au maduka gani kuna simu za bei nafuu hasa za mchina hizi kuhusu soko lipo la kutosha. Pili nisaidiwe kuunganishwa na mtu anayezifata huko kuzileta mwanza. Maisha kutafuta na natanguliza shukrani za dhati.
 
Nipigie 0752409525 tuongee biashara. Happy new year!
 
kuna jamaa mmoja wa tabora aliuza nyumba 7 million,akaenda nairobi kununua simu,wale wasomali wa nairobi wakambadilishia box walilompakia simu zake,wakati tunamkagua boarder akatuambia kuna simu ,kufungua tukakuta maganda ya simu. mzee alilia kama mtoto mdogo mpaka akapoteza fahamu,akawa kila akiamka anaangalia box na kupoteza fahamu tena
 
Kama mtaji wako ni mdogo sikushauri uanzie Nairobi. Ni bora ukaanzia China (Kuja mwenyewe au kuagiza) kwa sababu kwanza ni uhakika na bidhaa utakazozipata utazipata kwa grade unayoamua wewe. Pia bei ni nafuu sana.
 
China anapanda basi la 45?kashakuambia mtaji wake mdogo

Back
Top Bottom