RORYAKWETU
Member
- Nov 18, 2011
- 83
- 13
Heri ya Mwaka mpya JF. Nipo Mwanza. Naomba mwenye uzoefu na biashara ya simu toka Nairobi. Nataka kufanya biashara hii sina mtaji mkubwa ila nataka kuanzia hicho nilichonacho. Ikiwezekana nijue ni Nairobi sehemu gani au maduka gani kuna simu za bei nafuu hasa za mchina hizi kuhusu soko lipo la kutosha. Pili nisaidiwe kuunganishwa na mtu anayezifata huko kuzileta mwanza. Maisha kutafuta na natanguliza shukrani za dhati.