Tafuta hiyo habari humuhumu ilishajadiriwa kwa upana sana. Na kwa vile huu ni msimu wa sikukuu jiandae kutapeliwa sana. Kila la heriNajua humu kuna watu wenye uelewa wa vitu mbalimbali.Sasa basi mi nna jambo nataka kuuliza je kuna mtu anajua ni kuhusu hii biashara ya shilingi za zamani na kwanini watu wanasema huuzwa kwa bei kubwa sana?
Kichwa chake cha habari, nataka kui-retrieve nione inasemajeTafuta hiyo habari humuhumu ilishajadiriwa kwa upana sana. Na kwa vile huu ni msimu wa sikukuu jiandae kutapeliwa sana. Kila la heri
Jibu halisi hili hapaShilling ya zamani ni moja tu yenye thamani na hupewa thamani na coin collector ambao wana museum za hela au sarafu za kila nchi. Wakisha ipata ya kwanza basi hawana shida tena na zile zinazofuata, kwa bahati mbaya habari hizo huenea katika jamii muda mrefu sana.
Siyo shilling za zamani tu inaweza ikawa nakala ya kwanza ya gazeti Fulani, kitabu Fulani cha siku za nyuma sana,baskeli za zamani, taa za zamani mfano aladin n.k