Biashara ya Sendo za Kimasai yenye mtaji mdogo faida kubwa

Deus Boniface

Member
Nov 3, 2021
10
6
Habari Ndugu zangu wanajamii wenzangu

Leo nmependa kuongelea moja ya biashara ndogo na zenye kuhitaji mtaji mdogo na faida kubwa sana.

Biashara ya Sendo za Kimasai.

1. Mtaji
Biashara hii inaweza kuchukuwa mtaji wa adi 200,000/= ambao unananua sendo kwa jumla kwa bei rahisi sana unasambaza vyuoni ofisini na mzigo ukibaki unatandika chini kama una mfuko wa saflet

2. Faida
Sendo zinatofautiana ambapo unaweza kupata kwa 6500,7000,7500,8500,5500, kwa bei ya jumla ambapo wewe utauza kwa 12,000 adi 15000 nadhani mnaona faida inapopatikana apo kqa mahesabu ya haraka kila sendo ina almost marambili faida.

3. Chimbo
kuhusu chimbo la hizi sendo kwangu mimi apa nachukulia kwa mdadaa mmoja apa mwenge dar es salaam na ananisafirishia mpaka kilimanjaro.

4. Changamoto
kila biashara ni wazi ina changamoto zake kwa hii biashara kwangu nimepata changamoto ya watu kutaka sana punguzo ambalo linaniulia mtaji ila kwasababu napenda kujenga connection nmejitahidi sana kupambana nao ivoo.

Mwisho kabisa biashara yeyote utakapoikatia tamaa ndo mwanzo wa kudorora.

93d34be8-2b3d-402f-af8f-a20ffa00729a.jpg

46a3a00c-c14c-49b8-86fd-7f280db2f335.jpg

11bc4255-9446-4365-b8b6-fa6043f6251a.jpg

11bc4255-9446-4365-b8b6-fa6043f6251a.jpg

a8c7d373-607f-4923-8c1e-bc9a1e475854.jpg

0776b160-e71f-4f56-a741-a9d70a1b591d.jpg

b90ce997-35e5-4f4e-975d-fb38c0c3a460.jpg

2cc812bb-6c5c-43e0-ac10-f852de132cd4.jpg

983e3176-c822-4f6b-ad82-a7a71fc0f218.jpg

Namba zake ni 0684325340

Na ambao wangependa kuona bidhaa instagram wanatumia @glowpinkly
 
Habari Ndugu zangu wanajamii wenzangu

Leo nmependa kuongelea moja ya biashara ndogo na zenye kuhitaji mtaji mdogo na faida kubwa sana.
Technique yako ya biashara inafikirisha kidogo. Nilitarajia ungeelezea eneo unalopatikana wewe, tofauti na ulivyojikita kumwelezea supplier wako. Au ndo kumpiga chenga mexene
 
Mkuu huyo.dada anakupiga ila ww hujui tu 😆😆😆 chimbo lanizo unazo ziita sendoz ni pale machinga complex ilala Dsm, watu wanatoka mpaka rwanda wanafika machinga complex . Sasa uzinduke temana na dada huyonembu tembelea mavhinga complex alafu uone kama hauta gongana na huyo dada na yy anafunga mzigo
 
Machinga compex wanauza bei gani mkuu kwa jumla?
 
Technique yako ya biashara inafikirisha kidogo. Nilitarajia ungeelezea eneo unalopatikana wewe, tofauti na ulivyojikita kumwelezea supplier wako. Au ndo kumpiga chenga mexene

nimetoa wazo sijaja kutangaza biashara ndugu yangu nahisi jukwaa ni kwaajili ya mawazo sio matangazo ahsante
 
Back
Top Bottom