Mkwanga
Senior Member
- Dec 6, 2010
- 146
- 19
Jaman naomba mwenye kufahamu gharama ya kufungua saloon ya kisasa unatakiwa uwe na mtaji kiasi gani naumba mnisaidie....
Barber shop clasic bajet ni kama ifuatavyo
1.viti vya saloon clasic @1, 000, 000
2.kiti cha scrub @1, 500, 000
3.fetlizer @350, 000
4.machine za kunyolea 150, 000
5.tv and radio
6 .air port chair @500, 000
Hii ndio rougly bajet km frame ipo poa mean ac, vioo
So Saloon ni Salon
Kuna kipindi kumwabia mtu ukweli nakuwa ngum sana ila inabidi.
Hakuna Salon nzuri kama unavyotaka kwa milioni mbili.
Sema nataka Salon ya kwaida uswaznigga hapo sawa.
Maana mfumo wa sasa ni Full aluminum,na mlango wa aluminium si chini ya milioni moja,bado hujaingia ndani kufix.
Unajua pesa kuitamka unaona no nyingi lakini ukiingia kwenye mipango ni ndogo sana,usije ukakurupuka kisha ukaja kukwama na mtaji ukaganda.
Nakushauri fungua Salon ya kawaida tu,weka mlango wa mbao,viti vya mbao,weka feni ya kiushkaji hapo itakutoa.
Lakini ukitaka makuu hiyo pesa ni ndogo sana.
Mtu wa kufanya scrub mara nyingi hakuna malipo ya mwezi,huwa analipwa kwa kila kichwa,tatizo ni kwamba ukianza kutafuta mtu aisemjuzi badso hapo biashara itakula kwako,wateja watakimbia,alikni kama ukitafuta mdada mzuri wa kazi hiyo basi unaweza kukuta hata mtu kama hajanyoa hapo anaweza kujakufanya scrub
1.6m +..
Kiti cha kawaida kariakoo 450000
Front frame pamoja na mirror 400000
Resting chair vya wateja 200000
Machine mbili 220000
Vioo vya nyuma na pembeni 150000 pamoja na frame
Vitambaa vitano au sita 120000
Mengineyo 100000
Kodi ya frame inategemea na location ila sehem nyng ni 50000 per month
Sent using Jamii Forums mobile app