Biashara ya salon imemshinda, mdada anauza vifaa vyake

Powder

JF-Expert Member
Jan 6, 2016
4,417
5,440
IMG_20171101_124952.jpg

Draya 2
Stand kwa ajiri ya Rollers
Sink
Viti vya Silver
Pazia 2
Vitana, Rollers, Taulo

IMG_20171101_124952.jpg
IMG_20171101_114344.jpg
IMG_20171101_114510.jpg
IMG_20171101_125538.jpg
IMG_20171101_123601.jpg
IMG_20171101_125758.jpg

Draya kila 1 - 180,000
Sink&Taulo - 90,000
Kiti cha Chuma - 170,000
Stand&Rollers na Vitana - 75,000
Pazia 2 pcs - 25,000

Kama uko interesting lem know, mzigo upo Dar as salaam, kama utataka kuchukua vyote, bei itapungua!
 
Ikipita wiki moja na huu mzigo ukiwa bado upo nijulishwe please. Kuna mipango naweka sawa
 
Hajasema ameshindwa biashara kwa namna gani, je eneo sio rafiki kibiashara au vipi? nimeuliza hivi kwasababu nataka kununua vifaa vyote pamoja nayeye mwenye navyo kisha tutafute sehemu yenye ubize tufungue hapo, lakini yeye aendelee kusimamia ila mimi ndo nitakuwa mmiliki kama akikubali mipango yote tutaongea tukionana. kiuhalisia hakuna biashara ngumu shida ni location, management na strategic plan.
 
yaan kwa saloon kwakweli ni kama kauzembe fulan !kuna mdada hiv mjanja sana ana saloon yake ukienda kwake jua utatindwa nyusi bure na kukupaka wanja wa lulu bure na kukupaka makeup simple yaan unatoka tofauti !sasa masaloon yetu haya had kunyoa nyusi unadaiwa buku! ukiwa mjanja saloon haikuachi tupu !mradi uwe mjanja tu na uweke urafiki na you tubes ujue mambo mengi !yaan utatusua
 
Mkuu! Ukweli ni kwamba Biashara imemshinda huyo Bi. Mdada, just poor Management!
 
na wanashindwa mie nilishapata majibu !saloon kuna umbea sana aisee had inakera !kuteta wateja arghh sio wote wanapenda maumbea umbea ya namna hyo !yaan uswahili sana !
 
yaan kwa saloon kwakweli ni kama kauzembe fulan !kuna mdada hiv mjanja sana ana saloon yake ukienda kwake jua utatindwa nyusi bure na kukupaka wanja wa lulu bure na kukupaka makeup simple yaan unatoka tofauti !sasa masaloon yetu haya had kunyoa nyusi unadaiwa buku! ukiwa mjanja saloon haikuachi tupu !mradi uwe mjanja tu na uweke urafiki na you tubes ujue mambo mengi !yaan utatusua
Upo sahihi Mkuu!
 
Mkikosana na michepuko yenu ndio mnaishia kuwanyang'anya fadhila mlizowapa,mna dhambi nyie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom